Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Wakuu za muda huu;

Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini.

Picha hapo chini zinajieleza.

NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
 
Attachments

  • 20240924_065009.jpg
    20240924_065009.jpg
    344.5 KB · Views: 6
  • 20240924_065018.jpg
    20240924_065018.jpg
    320 KB · Views: 6
Wakuu za muda huu;

Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini.
(moderator: Kumradhi sina maana ya kutangaza biashara ya mtu)

Picha hapo chini zinajieleza.

NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.

Inaitwa shikilia hapo tu
 
Tangu nimekuja huku Skendinevia sijawahi kupiga kiwi viatu vyangu vya ngozi
 
Kangaroo je umewahi piga?
Hahaha sijapiga mkuu. Ila Australia na New Zealand wanakuwaga watani wa jadi wana mashindano sana hawa kangaroos na kiwis.

Ila napenda New Zealand ina hali ya hewa Nzuri sana cool ukilinganisha na Australia joto kali ni tasmania tu ndo kuna ubaridi sana Australia.
 
Atapatikana sana New Zealand na ndio nembo yao ya taifa hata national carrier yao inaitwa kiwi hata timu yao ya rugby inaitwa kiwi.
Ahsante sana kwa elimu nzuri, yaani hapa jamiiforum ndio sehemu unaweza pata majibu ya swali lako mpaka ukafurahi, Kuna watu wengi sana walikuwa hawajui.
 
Kuna products huwa zinakamata soko, kiasi cha soko hilo kuitwa jina la product hiyo. Mfano;

1. Kiwi
2. Bukta
3. Bic
4. Shell
5. Caterpillar
6. Blue band

etc
Fafanua japo kidogo hapo kwenye "kukta" na "Caterpillar"
 
Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uk inatengeneza nguo za michezo).

Caterpillar ni kampuni ambayo ilitoa na inatoa gari za ujenzi, saivi hata zile ambazo sio za kampuni hiyo bado watu wanaita caterpillar. (CAT)
 
Shukrani sana mdau kwa jibu zuri sana
 
Back
Top Bottom