Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Siyo kukta, ni bukta. Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa buktaFafanua japo kidogo hapo kwenye "kukta" na "Caterpillar"
Kuhusu caterpillar,
Kuna heavy equipments mostly zinatumika kwenye kutengeneza barabara
Haya madude yakionekana barabarani, utawasikia watu wakisema, KATAPILA limepita, hata likiwa la brand nyingine.