Nadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.KIWI ni tunda
Wakuu za muda huu;
Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini.
(moderator: Kumradhi sina maana ya kutangaza biashara ya mtu)
Picha hapo chini zinajieleza.
NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
Kwani hiki kiumbe kipo kweli dunianiNadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.View attachment 3105022
Pia ni tunda. Ina uchachu flani. Inatumiwa sana kwenye burger za McDonald's.Nadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.View attachment 3105022
Tangu nimekuja huku Skendinevia sijawahi kupiga kiwi viatu vyangu vya ngoziWakuu za muda huu;
Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini.
(moderator: Kumradhi sina maana ya kutangaza biashara ya mtu)
Picha hapo chini zinajieleza.
NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
Atapatikana sana New Zealand na ndio nembo yao ya taifa hata national carrier yao inaitwa kiwi hata timu yao ya rugby inaitwa kiwi.Nadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.View attachment 3105022
Kuna products huwa zinakamata soko, kiasi cha soko hilo kuitwa jina la product hiyo. Mfano;Mwamba kafanya bongo hii kila kampuni ya rangi ya kiatu iitwe jina lake hata kama ni tofauti
Kangaroo je umewahi piga?Tangu nimekuja huku Skendinevia sijawahi kupiga kiwi viatu vyangu vya ngozi
JAPANESE UNCENSOREDKangaroo je umewahi piga?
Hahaha sijapiga mkuu. Ila Australia na New Zealand wanakuwaga watani wa jadi wana mashindano sana hawa kangaroos na kiwis.Kangaroo je umewahi piga?
Ahsante sana kwa elimu nzuri, yaani hapa jamiiforum ndio sehemu unaweza pata majibu ya swali lako mpaka ukafurahi, Kuna watu wengi sana walikuwa hawajui.Atapatikana sana New Zealand na ndio nembo yao ya taifa hata national carrier yao inaitwa kiwi hata timu yao ya rugby inaitwa kiwi.
Watu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uk inatengeneza nguo za michezo).Fafanua japo kidogo hapo kwenye "kukta" na "Caterpillar"
Shukrani sana mdau kwa jibu zuri sanaWatu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uk inatengeneza nguo za michezo).
Caterpillar ni kampuni ambayo ilitoa na inatoa gari za ujenzi, saivi hata zile ambazo sio za kampuni hiyo bado watu wanaita caterpillar. (CAT)