Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Siyo kukta, ni bukta. Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa buktaFafanua japo kidogo hapo kwenye "kukta" na "Caterpillar"
Pamoja kiongoziWatu wanadhani kila bukta wanazovaa ni za kampuni ya Bukta(bukta ni jina la kampuni iko Uk inatengeneza nguo za michezo).
Caterpillar ni kampuni ambayo ilitoa na inatoa gari za ujenzi, saivi hata zile ambazo sio za kampuni hiyo bado watu wanaita caterpillar. (CAT)
Safi sana kiongoziSiyo kukta, ni bukta. Bukta ni kaputura iliyokuwa inatengenezwa na kampuni ya bukta. Matokeo yake hata kaputura za kampuni nyingine nazo zikawa zinaitwa bukta
View attachment 3105226
Kuhusu caterpillar,
Kuna heavy equipments mostly zinatumika kwenye kutengeneza barabara
View attachment 3105243
Haya madude yakionekana barabarani, utawasikia watu wakisema, KATAPILA limepita, hata likiwa la brand nyingine.
Kumbe bukta ni brand name?Kuna products huwa zinakamata soko, kiasi cha soko hilo kuitwa jina la product hiyo. Mfano;
1. Kiwi
2. Bukta
3. Bic
4. Shell
5. Caterpillar
6. Blue band
etc
Kiwi hajui kukimbia kama mbuni, hajui kupaa vilevile. Ni mdhaifu sana hawezi jilinda akishambuliwa, mnyonge tu. Kuna baiolojia kubwa sana kuhusu yeye ni kama nature inamkataa. Yuko endangered hata sehemu anapopatikana marufuku kwenda na mbwa.Nadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.View attachment 3105022
Ahsante sana kwa kuongeza nyama nyamaKiwi hajui kukimbia kama mbuni, hajui kupaa vilevile. Ni mdhaifu sana hawezi jilinda akishambuliwa, mnyonge tu. Kuna baiolojia kubwa sana kuhusu yeye ni kama nature inamkataa. Yuko endangered hata sehemu anapopatikana marufuku kwenda na mbwa.
Hata hivyo New Zealand kiasili kwa namna ilivyokuwa kiwi ndio sehemu pekee ya wao kuishi, hata Australia.
Kumbe ni ndege, nilijua tu ni ubunifuNadhani ni ndege asiye na mkia wala mabawa.View attachment 3105022