Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

Kumbe huyu ndio Mamy Baby wa Clouds FM

Ulikuwa na uhusiano nae gani hadi akukumbuke?..au ulikuwa una muuzia yale manguo ya kitomboy?
Kuna machalii zangu ni mamcee wa kitaa wanaruka zile matantwista usikii ata neno moja walikuwa wanampelekea mangoma studio kipindi io tunaenda nao ndo nikajuana naye uko akawa ni msela sana alivyoendaga east Africa radio ndio ikawa basi tena ..kitambo sana miaka iyoo
 
Back
Top Bottom