Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe nawe ficha ujinga wako. Kuna watu wengi sana ambao kazi zao nu uganga wa kienyeji lakini wapo kwenye ushabiki wa usimba na uyanga hilo halipingiki. Usimba na uyanga unebeba wachungaji, mapadri, mashekhe, waganga wa kienyeji, wabunge, n.k kila aina ya watu wapo kwenye mapenzi ya hizi timu mbili. Unataka kusema wanaofanya kazi za uganga wote Tanzania ni mashabiki wa Yanga tu?Swali
Huo uganga ni kazi yake au sio kazi yake
Tumia mifano ya picha
YahLkn huyo kwenye picha hapo si yeye...