Wewe nawe ficha ujinga wako. Kuna watu wengi sana ambao kazi zao nu uganga wa kienyeji lakini wapo kwenye ushabiki wa usimba na uyanga hilo halipingiki. Usimba na uyanga unebeba wachungaji, mapadri, mashekhe, waganga wa kienyeji, wabunge, n.k kila aina ya watu wapo kwenye mapenzi ya hizi timu mbili. Unataka kusema wanaofanya kazi za uganga wote Tanzania ni mashabiki wa Yanga tu?