Kumbe ilikuwa ya mama mkwe

Alijua kabisa kinachoendelea ila sasa pombe hizo akashindwa afanye nini [emoji1] hiyo Kali jamani.
🤣🤣🤣Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huo
...ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huko[emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huo
Hata yeye anaweza kavumilia ujue ni aibu , sasa aje kushituka na kupata ufahamu huku kazi inaishia na pombe iko juu unazani angeweza, yawezekana wakati anachojolewa aliona nguvu yakumwambia mie si mkeo hana, shughuli inaanza kakolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamaliza na usingizi huo ha ha ha ha .
 
Pombe siyo chai 😀
 
Aaaaw wewe na mama mkwe wako kumbe mlikuwa mnatakana toka mwanzo, ila kuna watu mnapitia mambo magumu magumu na bado maisha yanaendelea kama hakuna kitu
 
Chukua kisu uikate coz ilikuaibisha sana!!
 
Inawezekana hiyo dharura alishangaa mumewe kafikaje alipo na kuondoka
 
Umeamua kutuletea story msibani😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…