Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anasikilizia mapigo yanavyoendelea ha ha ha haAlikuwa kalala fofofo ila alikuwa kama anatabasamu naona kama alikuwa anaota ndoto nzuri
🤣🤣🤣Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huoAlijua kabisa kinachoendelea ila sasa pombe hizo akashindwa afanye nini [emoji1] hiyo Kali jamani.
Kabila letu, mwanaume siruhusiwi hata kumsalimia mkononi,na mke wangu haruhusiwi kumsalimia mkononi na Baba yangu.......hata kukaa pamojaNa si vizuri kulewa na mkwe hasa nyakati za usiku
...ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huko[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huo
Hata yeye anaweza kavumilia ujue ni aibu , sasa aje kushituka na kupata ufahamu huku kazi inaishia na pombe iko juu unazani angeweza, yawezekana wakati anachojolewa aliona nguvu yakumwambia mie si mkeo hana, shughuli inaanza kakolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamaliza na usingizi huo ha ha ha ha .[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wamama wa zamani walikuwa Smart sana,aliona imetoka na Kuna kosa lishatokea,akaacha amalize haja zake bila kelele........ili kulinda Ndoa ya mwanaye ila hawa mama mkwe kina Kajala wa sasa vurugu ingeanza usiku huo huo
Pombe siyo chai 😀Hata yeye anaweza kavumilia ujue ni aibu , sasa aje kushituka na kupata ufahamu huku kazi inaishia na pombe iko juu unazani angeweza, yawezekana wakati anachojolewa aliona nguvu yakumwambia mie si mkeo hana, shughuli inaanza kakolea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anamaliza na usingizi huo ha ha ha ha .
Historia ya kula kuku na Mayai yake 🤣Dah watu na bahati zenu *****
Aaaaw wewe na mama mkwe wako kumbe mlikuwa mnatakana toka mwanzo, ila kuna watu mnapitia mambo magumu magumu na bado maisha yanaendelea kama hakuna kituHicho ni kisanga cha pili cha kwanza kilianzia ukweni
Baada ya kutoka honey moon tuliitwa kwa wakwe tutie baraka ya kulala pale.. Sasa jioni ile mkewangu akaambiwa akipe .. Mimi nilikuwa chumbani
Kufika kwenye saa moja usiku umeme ukakatika na nikamsikia mama mkwe akimuagiza mwanae akalete mshumaa sebuleni! Kule kijijini majiko ni nje
Sasa sikujua kama mama mkwe kaghairi kumtuma bintiye na kuamua kwenda mwenyewe.. Mimi na utukutu wangu nikijua mkewangu ndio anakuja nikatoka chumbani kuelekea sebuleni nikamshika nikamvuta nikampa bonge la kiss! Palepale umeme nao ukarudi
Kumbe hakuwa mkewangu ni mama mkwe![emoji1544][emoji23]! Sikutoka chumbani mpaka tulipoondika kesho yake! Japo mama mkwe alijua fika ilikuwa ni wrong number[emoji23]
Hii ina muendelezo...Legend inaonekana uliifaidi sana mpaka umeamua ku-share na sisi story ya mama mkwe MMU
Chukua kisu uikate coz ilikuaibisha sana!!Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]
Mavi ya kale hayanuki! Hii ni story yangu mwenyewe! With time passed kuna vitu havina madhara tena hata ukoviweka wazi.. Nilimpoteza mkewangu wa kwanza 2002.. Apumzike kwa amani[emoji25]
Sorry kwa watakaokwazika na hii simulizi, maana najulikana na wengi.. Nilifunga ndoa ya Kimila mkoani, na baada ya harusi tukarudi Dar Temeke kwa Aziz Ally mtaa wa uwanja wa Sifa bythen, na mama mkwe alitufuata mwezi mmoja baadae kuja kutusalimia
Nyumba niliyokuwa nimepanga ilikuwa upande wa vyuma vitatu kwa maana ya katikati sebule kushoto bedroom na kulia bedroom.. Wakati huo hatukuwa na watoto hivyo nyumba ile ilitufaa kwa mahitaji yetu
Siku mama mkwe anafika tulienda kumpokea pale Kisutu kaja na Dar Express, tukafika salama home tukatua mizigo na kupata mlo wa jioni ndizi na nyama! Ndizi alikuja nazo mama mkwe
Pale uwanja wa Sifa ilikuwepo bar maarufu enzi hizo ikijulikana kama Zebra bar! Basi baada ya mlo wa jioni tukajisogeza hapo kumkirimu mama mkwe
Mke wangu hakuwa mnywaji kivile lakini kuna vi wine vinaitwa banana wakati huo ndio vilikuwa vinatamba sokoni.. Vikali sana! Mke wangu alikuwa akivipiga viwili tu hoi kabisa
Basi siku ile mimi na Serengeti larger za wakati huo zile kubwa, mama mkwe hajambo alikuwa anaondoka safari wife banana wine
Bia moja huanzisha nyingine kufika saa nne usiku mama mkwe alikuwa keshakula safari tano, mke wangu banana wine zake 2 tuu.. Wakawa wamechoka na kuomba kutangulia home.. Nikawaruhusu
Mimi na Serengeti zangu za kutosha kufika home kwenye saa sita hivi usiku moja kwa moja chumbani, sikuwa na haja ya kuwasha taa maana mwanga hafifu toka taa ya nje kupitia dirishani ulitosha kuangaza macho
Nikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi[emoji23] lakini nilipokumbuka kanywa banana wine sikumlaumu tena!
Nikamchojoa zote nikajihudumia chakula cha usiku watoto wakila wamelala.. Nikajisevia self service ila nikashangaa mbona kama ladha ya leo ni tofauti na niliyozoea? Kuanzia kina, expansion joint mpaka sentigredi? Nikajua pengine leo ni special order
Cha kushangaza zaidi hata ufundi wa leo ulikuwa extra mile[emoji23] Nikamaliza kula lakini sikunawa wala kunawisha! Sio kosa wote tulikuwa hoi sana!
Kibaridi cha saa tisa usiku kuelekea alfajiri ndio kiliniamsha.. Wakati huo hata ulevi ulikuwa umeshakata.. Nikajaribu kumkumbatia mkewangu nipate joto na pengine ikibidi morning glory, lakini nikaona kama kaongezeka unene! Hili likanipa fadhaa nikawasha switch pembezoni mwa kitanda!
Lahaulah aliyekuwepo kitanda ni mama mkwe![emoji3064] Nikazima nikawasha! Nikazima tena nikawasha nikazima na kuwasha zaidi ya mara tatu ili nikiwasha sura ibadilike lakini wapi! Sura ilikuwa ileile ya mama mkwe! Na shepu lake la kiutu uzima[emoji39]
Nikiwa nimechanganyikiwa nikamsitiri na kutoka kimyakimya na kufunga mlango taratibu mno! Nikavuka sebuleni nikaingia chumba cha wageni na kuwasha taa.. Duh! Aliyekuwepo kitandani ni mke wangu, kajiweka mkao wa menu..
Wala sikuwa na haja ya kushangaa mara mbili nikazima taa na kurukia kitandani, wakati huo ilikuwa ni adhana ya kwanza! Na jogoo la pili linawika!
Niliamshwa na wife saa tatu asubuhi, akiniambia niamke tumsindikize mama mkwe stand kapata taarifa ya dharura kijijini hivyo inabidi aondoke siku hiyohiyo.. Sikuwa na ubavu wa kumsindikiza nikatoa visingizio kadhaa na kumkodishia tax iliyompeleka hadi Kisutu
Jioni ile ikabidi nimuulize wife ilikuwaje akabadili vyumba bila taarifa? Akasema waliporudi akaona ni vema mama yake alale chumbani kwetu maana kulikuwa self nasi tulale kwa wageni.. Akaniuliza kwani uliporudi uliingia chumba gani? Nami nikamjibu kwani ulipoamka ulimuacha nani kitandani?[emoji23]
Kumbe ilikuwa ya mamamkwe[emoji848][emoji2827][emoji1544][emoji1550]
Jf ni mtu amekata moto!!JamiiForum imekumbwa na nini?
Inawezekana hiyo dharura alishangaa mumewe kafikaje alipo na kuondokaNiliamshwa na wife saa tatu asubuhi, akiniambia niamke tumsindikize mama mkwe stand kapata taarifa ya dharura kijijini hivyo inabidi aondoke siku hiyohiyo.. Sikuwa na ubavu wa kumsindikiza nikatoa visingizio kadhaa na kumkodishia tax iliyompeleka hadi Kisutu
Umeamua kutuletea story msibani😄Ladha ilikuwa tofauti na siku zote! Kumbe ile tamu ilikuwa ya mama mkwe[emoji848][emoji40]