Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Jamaa alikuwa tungi kwa hiyo hakugundua mapemaπIla Kaka mimi bwana nikishika mtu asiye mke wangu nitajua tu, lazima, lazima, kuna maeneo ambayo nikilala naye nitayashika tu, na nitashtuka haraka.
Sio kosa lako, ni kosa la mkeo ππNikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi
Hahahha[emoji23]Ila pombe Ni mbaya nyie[emoji23]
Nakumbuka Kuna jamaa alinipigia story alikutana na mwanamke mmoja mida ya Usiku wakaelewana wakaenda lodge afu jamaa alikuwa amelewa kiasi Cha haja.
Jamaa akapiga show Kisha wakapitiwa na usingizi.Ikafika asubuhi jamaa akastuka kumbe alikuwa na mwanamke,akamshiks kichwani akagundua mwanamke alikuwa bi kizee kumbe alikuwa amevaa wigi la kuzugia tu[emoji23][emoji23]
Nilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...I wish angekuja tena kututembelea kisha tutoke out tutoe lock tena! [emoji23]
Tunapowaambia muache pombe huwa mnajifanya hamuelewi ubaya wake πIla pombe Ni mbaya nyieπ
Nakumbuka Kuna jamaa alinipigia story alikutana na mwanamke mmoja mida ya Usiku wakaelewana wakaenda lodge afu jamaa alikuwa amelewa kiasi Cha haja.
Jamaa akapiga show Kisha wakapitiwa na usingizi.Ikafika asubuhi jamaa akastuka kumbe alikuwa na mwanamke,akamshiks kichwani akagundua mwanamke alikuwa bi kizee kumbe alikuwa amevaa wigi la kuzugia tuππ
Pombe huwa inampa mtu ujasiri wa kijinga Sana, Yaani ukiwa umelewa uneza fanya mambo ya ajabu sanaTunapowaambia muache pombe huwa mnajifanya hamuelewi ubaya wake π
Kwako umetambua hivyo ila wao walikuwa wameshatengeneza mpango mzima, hivyo mzee baba ukaingia mzimamzima kwenye 18 zaoπππBahati mbaya bro
Unaweza paiisha juu mawinguni gari la mkopoYaani ukiwa umelewa uneza fanya mambo ya ajabu sana
Kapeace ebu tuelezee kea kiduchu ilikuwaje kuwaje ukaliwa kimasikhara namna hiyoππNilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...