Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Wanasemaga moyo wa mtu Ni kichaka, Kweli mioyo ya watu imebeba mambo mengi Tena mazito Sana kudadeki 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alikuwa tungi kwa hiyo hakugundua mapema😂Ila Kaka mimi bwana nikishika mtu asiye mke wangu nitajua tu, lazima, lazima, kuna maeneo ambayo nikilala naye nitayashika tu, na nitashtuka haraka.
Sio kosa lako, ni kosa la mkeo 😂😂Nikavua nikapanda kitandani na kumkuta wife kalala na nguo.. Kidogo nikasirike maana ukikubali ndoa kubali kulala wuchi
Hahahha[emoji23]Ila pombe Ni mbaya nyie[emoji23]
Nakumbuka Kuna jamaa alinipigia story alikutana na mwanamke mmoja mida ya Usiku wakaelewana wakaenda lodge afu jamaa alikuwa amelewa kiasi Cha haja.
Jamaa akapiga show Kisha wakapitiwa na usingizi.Ikafika asubuhi jamaa akastuka kumbe alikuwa na mwanamke,akamshiks kichwani akagundua mwanamke alikuwa bi kizee kumbe alikuwa amevaa wigi la kuzugia tu[emoji23][emoji23]
Nilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...I wish angekuja tena kututembelea kisha tutoke out tutoe lock tena! [emoji23]
Tunapowaambia muache pombe huwa mnajifanya hamuelewi ubaya wake 😂Ila pombe Ni mbaya nyie😂
Nakumbuka Kuna jamaa alinipigia story alikutana na mwanamke mmoja mida ya Usiku wakaelewana wakaenda lodge afu jamaa alikuwa amelewa kiasi Cha haja.
Jamaa akapiga show Kisha wakapitiwa na usingizi.Ikafika asubuhi jamaa akastuka kumbe alikuwa na mwanamke,akamshiks kichwani akagundua mwanamke alikuwa bi kizee kumbe alikuwa amevaa wigi la kuzugia tu😂😂
Pombe huwa inampa mtu ujasiri wa kijinga Sana, Yaani ukiwa umelewa uneza fanya mambo ya ajabu sanaTunapowaambia muache pombe huwa mnajifanya hamuelewi ubaya wake 😂
Kwako umetambua hivyo ila wao walikuwa wameshatengeneza mpango mzima, hivyo mzee baba ukaingia mzimamzima kwenye 18 zao😂😂😂Bahati mbaya bro
Unaweza paiisha juu mawinguni gari la mkopoYaani ukiwa umelewa uneza fanya mambo ya ajabu sana
Kapeace ebu tuelezee kea kiduchu ilikuwaje kuwaje ukaliwa kimasikhara namna hiyo😂😂Nilijua tu kuwa ulienjoy, scenario kama hizo huwa tamu kuliko utamu wenyewe, ila ndo ukiendekeza tu unaharibu maisha yako yote vyema kuishinda tamaa, iliwahi kunikuta ila hakuwa bamkwe wala shem shem ni mtu ambae sikuwahi mdhania wala kumfikiria kumpa tam, ilikuwa tam jamani, unaliwa hadi unalia machozi...