Kirungu tutakugongesha wewe hapo nyuma kwakoTarehe 29 kirungu kitakusubiri kama hizo mwendokasi zinavyokusubiri
Alikua kama weweWewe unajulikana usiye na akili, polepole alikuwa kama wewe.
Ndoto za alinachaTarehe 29 kirungu kitakusubiri kama hizo mwendokasi zinavyokusubiri
Hiyo ni baadae sana, hao wa kimara washajipata labda huko mbagala na kwingineko.Kwa hiyo tutegemee yaleyale baada ya uchaguzi, kupanga misururu kuanzia saa12 hadi saa3 asubuhi?
My dear huko chimbo kunasemaje..Ndoto za alinacha
Yajayo yanafurahisha
Tunzeni pesa zenu
Rohoni kazi ilishaishaMy dear huko chimbo kunasemaje..
Haleluya ..watu wanacheza na huyu Mungu ...hayaaaa...Mimi naimba tu leo....utavuna ulichopanda pandaaa utavuna ulichopandaaa pandaaRohoni kazi ilishaisha
Bado utimilifu tu mwilini
Ndo maana tunawashauri watunze fed half zao
Yajayo yanafurahisha
Yes na Mungu atajitwalia utukufuHaleluya ..watu wanacheza na huyu Mungu ...hayaaaa...Mimi naimba tu leo....utavuna ulichopanda pandaaa utavuna ulichopandaaa pandaa