Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

Tatizo unawasikiliza sana motivational speakers. Hiyo kauli " Don't live in the past" umeitumia ndivyo sivyo.
 
Tatizo unawasikiliza sana motivational speakers. Hiyo kauli " Don't live in the past" umeitumia ndivyo sivyo.
Ni kauli ya osama wala si ya motivational speakers. Ukweli ndio huo lazima uendane na mabadiliko positive.
 
Kwani English Medium kuna nini cha ziada zaidi ya kiingereza? Kama hela ya kutosha mpeleke mwanao English Medium akajue kiingereza akiwa mtoto ila kama maisha yako ni ya kuunga unampeleka mtoto English Medium alafu form one anapelekwa kayumba na wewe unashukuru umetua mzigo SASA unafanya nn? Si Bora hiyo hela uiweke asome kayumba mpaka la Saba alafu form one mpaka chuo mlipie Ada asome shule nzuri?
 
You are the true son of your father

C.c leoleo-tu
 
Mtoto/watoto wa Herse wanasoma wapi?
 
Zamani Dar shule za Msingi nzuri zilikuwa Bunge, Ubungo NHC, Mnazi Mmoja, Forodhani, Karume nk!, hizi zilikuwa tafauti na zile zingine choka mbaya.
 
100% perfect
 
Zamani Dar shule za Msingi nzuri zilikuwa Bunge, Ubungo NHC, Mnazi Mmoja, Forodhani, Karume nk!, hizi zilikuwa tafauti na zile zingine choka mbaya.
Ubungo NHC hapana mkuu. Hiyo shule naijua vizuri sana dada angu wa kwanza kamaliza hapo la saba mwaka 89.
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…