Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

kuna wasioenda hata going to church in mosques kumekuwa modernized kama ilivyo kwa elimu. ndo maana unakuta bible na Quran kwenye tablets na simu, watu wanakalia miswala mizuri, church same kwaya wanapiga keyborads, na drum machines yote hiyo ni kuto live in the past...
Tatizo unawasikiliza sana motivational speakers. Hiyo kauli " Don't live in the past" umeitumia ndivyo sivyo.
 
Ni kauli ya osama wala si ya motivational speakers. Ukweli ndio huo lazima uendane na mabadiliko positive.
 
Kwani English Medium kuna nini cha ziada zaidi ya kiingereza? Kama hela ya kutosha mpeleke mwanao English Medium akajue kiingereza akiwa mtoto ila kama maisha yako ni ya kuunga unampeleka mtoto English Medium alafu form one anapelekwa kayumba na wewe unashukuru umetua mzigo SASA unafanya nn? Si Bora hiyo hela uiweke asome kayumba mpaka la Saba alafu form one mpaka chuo mlipie Ada asome shule nzuri?
 
You are the true son of your father

C.c leoleo-tu
 
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇

"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.

Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii imekaaje"

Majibu ya Injinia Hersi sasa👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Nimekulia jijini Dar es salaam. Nimesoma katikati ya jiji, shule ya Msingi Kidongo Chekundu( AMBAYO NI KAYUMBA/ the emphasis is mine)

Wakati Mimi nasoma Kayumba, wewe ulikuwa kwenu Kaliua. Huwezi kuwa na taarifa zangu za utotoni. Mjini umekuja juzi".

..........

Shule za Kayumba huwaandaa watoto wa kitanzania na uhalisia halisi wa maisha ya kitanzania.

Ewe mzazi, ewe miezi. Acha kuendelea kupunwa.

Huna sababu yoyote ile kuendelea kupoteza hela zako kwa kumlipia mtoto wako pesa nyingi kwenye shule za English Medium ili atakapo maliza chuo aende akawe winga Kariakoo.

Shule za English Medium hazina umuhimu wala upekee wowote kwenye future ya mtoto wako.

Upekee na umuhimu huo umewekwa na wamiliki wa shule hizo ili wakupige hela.

Hizo hela zako unazo poteza ni bora uzitumie kuwanunulia watoto wako assetts halisi kama vile nyumba, mashamba, viwanja, hisa n.k.

Waache wasome Kayumba huku ukiwasimamia kwa ukaribu sana ili wafike sekondari hadi chuo.

Jambo hilo liende sambamba na kuwafundisha biashara na skills za maisha.

Unapolipa mamilioni kwenye shule za English Mediums unacho kifanya ni 👇👇👇👇👇

" kula nyumba, mashamba, viwanja, biashara za watoto wako etc, in the form of an evil spirit who is known as school fees"

Unakuwa kama mtu asiekuwa na akili sawa sawa wala maarifa.

Unamsaidia mmiliki wa shule ya EM kujenga nyumba za watoto wake, kununua magari, mashamba, viwanja n.k vya watoto wake kwa kutumia pesa ambazo ungepaswa kuzitumia kuwajengea watoto wako.

U mjinga kiasi gani wewe. Yani unatoa maji kwenye kisima chako unaenda kuyamwaga kwenye bahari ya mtu mwingine???.

Narudia tena. Shule za English Medium hazina upekee wala umuhimu wowote ule. Upekee na umuhimu huo una exist kwenye mawazo yako wewe mtanzania ambae umekuwa brainwashed na propaganda za Wamiliki wa shule hizo..

Usisahau kwamba👇👇👇

Elimu ya msingi ni kwa ajili ya watoto kukua na kusocialize na wenzao Plus kupata just basic knowledge kama vile kujua kusoma na kuandika, KUHESABU, HISABATI, basic geography, basic English Etc. Huhitaji kulipa mamilioni kwa mtoto wako kupata vitu hivyo

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

MAKING KAYUMBA SCHOOLS GREAT AGAIN 👉👉👉👆 MAKAGA CAMPAIGN.
Mtoto/watoto wa Herse wanasoma wapi?
 
Zamani Dar shule za Msingi nzuri zilikuwa Bunge, Ubungo NHC, Mnazi Mmoja, Forodhani, Karume nk!, hizi zilikuwa tafauti na zile zingine choka mbaya.
 
Hivi unajua watoto wote wa Mawaziri na hata Late Julius Kambarage Nyerere walisoma tu hizi shule ambazo ni za wote ?

Nadhani kizazi cha hapa kati kinahitaji somo la kujua tulipotoka na kuweka mambo kwenye perspective (what really matters); Matabaka / Classes na Inferiority ipo zaidi kwenye Mind kuliko uhalisia...
100% perfect
 
Zamani Dar shule za Msingi nzuri zilikuwa Bunge, Ubungo NHC, Mnazi Mmoja, Forodhani, Karume nk!, hizi zilikuwa tafauti na zile zingine choka mbaya.
Ubungo NHC hapana mkuu. Hiyo shule naijua vizuri sana dada angu wa kwanza kamaliza hapo la saba mwaka 89.
 
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba[emoji116][emoji116]

"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.

Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii imekaaje"

Majibu ya Injinia Hersi sasa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Nimekulia jijini Dar es salaam. Nimesoma katikati ya jiji, shule ya Msingi Kidongo Chekundu( AMBAYO NI KAYUMBA/ the emphasis is mine)

Wakati Mimi nasoma Kayumba, wewe ulikuwa kwenu Kaliua. Huwezi kuwa na taarifa zangu za utotoni. Mjini umekuja juzi".

..........

Shule za Kayumba huwaandaa watoto wa kitanzania na uhalisia halisi wa maisha ya kitanzania.

Ewe mzazi, ewe miezi. Acha kuendelea kupunwa.

Huna sababu yoyote ile kuendelea kupoteza hela zako kwa kumlipia mtoto wako pesa nyingi kwenye shule za English Medium ili atakapo maliza chuo aende akawe winga Kariakoo.

Shule za English Medium hazina umuhimu wala upekee wowote kwenye future ya mtoto wako.

Upekee na umuhimu huo umewekwa na wamiliki wa shule hizo ili wakupige hela.

Hizo hela zako unazo poteza ni bora uzitumie kuwanunulia watoto wako assetts halisi kama vile nyumba, mashamba, viwanja, hisa n.k.

Waache wasome Kayumba huku ukiwasimamia kwa ukaribu sana ili wafike sekondari hadi chuo.

Jambo hilo liende sambamba na kuwafundisha biashara na skills za maisha.

Unapolipa mamilioni kwenye shule za English Mediums unacho kifanya ni [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

" kula nyumba, mashamba, viwanja, biashara za watoto wako etc, in the form of an evil spirit who is known as school fees"

Unakuwa kama mtu asiekuwa na akili sawa sawa wala maarifa.

Unamsaidia mmiliki wa shule ya EM kujenga nyumba za watoto wake, kununua magari, mashamba, viwanja n.k vya watoto wake kwa kutumia pesa ambazo ungepaswa kuzitumia kuwajengea watoto wako.

U mjinga kiasi gani wewe. Yani unatoa maji kwenye kisima chako unaenda kuyamwaga kwenye bahari ya mtu mwingine???.

Narudia tena. Shule za English Medium hazina upekee wala umuhimu wowote ule. Upekee na umuhimu huo una exist kwenye mawazo yako wewe mtanzania ambae umekuwa brainwashed na propaganda za Wamiliki wa shule hizo..

Usisahau kwamba[emoji116][emoji116][emoji116]

Elimu ya msingi ni kwa ajili ya watoto kukua na kusocialize na wenzao Plus kupata just basic knowledge kama vile kujua kusoma na kuandika, KUHESABU, HISABATI, basic geography, basic English Etc. Huhitaji kulipa mamilioni kwa mtoto wako kupata vitu hivyo

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

MAKING KAYUMBA SCHOOLS GREAT AGAIN [emoji117][emoji117][emoji117][emoji115] MAKAGA CAMPAIGN.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom