Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

Kumbe Injinia Hersi alisoma Kayumba?

Zamani Kayumba zilikuwa bora
Hata sasa hivi bado ni bora isipokuwa tu Wamiliki wa EM wametengeneza propaganda ili kuzichafua ili watengeneze uthamani kwenye shule zao wapate wateja wengi.
 
Ndio. Hazina ubora kama wakati sisi tunasoma.

Hiyo ni propaganda iliyo asisiwa na wamiliki wa shule za English Medium ili kutengeneza unyanyapaa kwenye shule za Kayumba na kuongeza " thamani" kwenye shule zao. Lakini ukweli ni kwamba shule za serikali za sasa hivi ni bora kuliko zamani.
 
Ndio. Hazina ubora kama wakati sisi tunasoma.
Huyu hawezi kukuelewa maana amaekunywa maji ya bendera ya shule za kayumba na inabidi abadilishe handle aitwe shule za kayumba.

Nimemwambia hizo kayumba zake anazizisifia nimefundisha miaka minne ni shule ambazo product zake ndio hiki kizazi cha tiktok na bodaboda wengi wanaosoma huko ni tabaka la chini baada ya elimu bure kuanza ,walimu hawana morali yahn ni masikitiko.

Mtoto wa siku hizi anapata 1.8 lakini mweupe kichwani.
 
Hersi kasoma elimu ya msingi miaka 30 iliyopita!!!!

Hicho KIZAZI waliosoma English Medium pengine by estimation hata asilimia 5 sijui kama wanafika...

Kayumba ya miaka ya 90 ambapo darasani tulikuwa hatuzidi 60, leo watoto wanakaa 300, waalim walikuwa walezi leo waalim wanatimiza wajibu.. Miaka hiyo waalim walikuwa wanaumiza kichwa kwanini mnafeli somo lake leo asiyeelewa anaambiwa atajua na wazazi wake...
Umechanganya vitu viwili. Darasa na mkondo.

Darasa mfano la3 linaweza kuwa na wanafunzi mia 3 lakini linakuwa na mikondo mi5 na kila mkondo unakuwa na wanafunzi 60.

Walimu wanajituma sana mkuu siku hizi tena mara 2 ya hao wa zamani kwa sababu Siku hizo watoto wanaenda shule kila siku na buku buku za remedial...
 
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇

"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.

Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii imekaaje"

Majibu ya Injinia Hersi sasa👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Nimekulia jijini Dar es salaam. Nimesoma katikati ya jiji, shule ya Msingi Kidongo Chekundu( AMBAYO NI KAYUMBA/ the emphasis is mine)

Wakati Mimi nasoma Kayumba, wewe ulikuwa kwenu Kaliua. Huwezi kuwa na taarifa zangu za utotoni. Mjini umekuja juzi".

..........

Shule za Kayumba huwaandaa watoto wa kitanzania na uhalisia halisi wa maisha ya kitanzania.

Ewe mzazi, ewe miezi. Acha kuendelea kupunwa.

Huna sababu yoyote ile kuendelea kupoteza hela zako kwa kumlipia mtoto wako pesa nyingi kwenye shule za English Medium ili atakapo maliza chuo aende akawe winga Kariakoo.

Shule za English Medium hazina umuhimu wala upekee wowote kwenye future ya mtoto wako.

Upekee na umuhimu huo umewekwa na wamiliki wa shule hizo ili wakupige hela.

Hizo hela zako unazo poteza ni bora uzitumie kuwanunulia watoto wako assetts halisi kama vile nyumba, mashamba, viwanja, hisa n.k.

Waache wasome Kayumba huku ukiwasimamia kwa ukaribu sana ili wafike sekondari hadi chuo.

Jambo hilo liende sambamba na kuwafundisha biashara na skills za maisha.

Unapolipa mamilioni kwenye shule za English Mediums unacho kifanya ni 👇👇👇👇👇

" kula nyumba, mashamba, viwanja, biashara za watoto wako etc, in the form of an evil spirit who is known as school fees"

Unakuwa kama mtu asiekuwa na akili sawa sawa wala maarifa.

Unamsaidia mmiliki wa shule ya EM kujenga nyumba za watoto wake, kununua magari, mashamba, viwanja n.k vya watoto wake kwa kutumia pesa ambazo ungepaswa kuzitumia kuwajengea watoto wako.

U mjinga kiasi gani wewe. Yani unatoa maji kwenye kisima chako unaenda kuyamwaga kwenye bahari ya mtu mwingine???.

Narudia tena. Shule za English Medium hazina upekee wala umuhimu wowote ule. Upekee na umuhimu huo una exist kwenye mawazo yako wewe mtanzania ambae umekuwa brainwashed na propaganda za Wamiliki wa shule hizo..

Usisahau kwamba👇👇👇

Elimu ya msingi ni kwa ajili ya watoto kukua na kusocialize na wenzao Plus kupata just basic knowledge kama vile kujua kusoma na kuandika, KUHESABU, HISABATI, basic geography, basic English Etc. Huhitaji kulipa mamilioni kwa mtoto wako kupata vitu hivyo

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

MAKING KAYUMBA SCHOOLS GREAT AGAIN 👉👉👉👆 MAKAGA CAMPAIGN.
If you live in the past the future will never find you. alisikika kijana mmoja akisema kuwa rais fulani alikuwa akitembea kilomita 13 kwenda shule na hana viatu, hivyo kutembea kilomita nyingi bila viatu huwaandaa watoto na uhalisi wa maisha hadi wanakuwa marais. zama zimebadilika.
 
Huyu hawezi kukuelewa maana amaekunywa maji ya bendera ya shule za kayumba na inabidi abadilishe handle aitwe shule za kayumba.

Nimemwambia hizo kayumba zake anazizisifia nimefundisha miaka minne

Kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria mkuu.
ni shule ambazo product zake ndio hiki kizazi cha tiktok na bodaboda wengi wanaosoma huko ni tabaka la chini baada ya elimu bure kuanza ,walimu hawana morali yahn ni masikitiko.

Sio kweli mkuu. Walimu wana morali kwa sababu kwenye shule hizo watoto kila siku wanaenda na buku buku za remedial.

FYI; Kizazi cha Tiktok ni Gen Z wote mkuu bila kujali amesoma Kayumba au St. EM.

Hata wewe mzazi mwenye kipato cha kawaida ambae unapoteza hela zako kumlipia mtoto wako shule za EM, akimaliza halafu ukawa hujamuwekea mazingira ya kazi wewe kama wewe bila kuitegemea serikali, mtoto ataendesha bodaboda tu au kama ni wa kike atadanga tu.

Kinacho amua kazi ama shughuli atakayo ifanya mtoto baada ya kuhitimu ni mfumo wa uchumi wa nchi na sio shule aliyo soma. U need to understand this mkuu.
Mtoto wa siku hizi anapata 1.8 lakini mweupe kichwani.

Hii inawahusu wote Kayumba na Ems pia. Huko EMs watoto wanakuwa wanajua tu kiingereza cha kuunga unga lakini mambo mengine ya msingi hakuna wanacho kijua. Ndio maana nasema hakuna haja ya kupoteza hela zako huko EM kwa sababu thamani ya kinacho patikana huko haiendani na thamani ya pesa unayolipa.
 
If you live in the past the future will never find you
alisikika kijana mmoja akisema kuwa rais fulani alikuwa akitembea kilomita 13 kwenda shule na hana viatu, hivyo kutembea kilomita nyingi bila viatu huwaandaa watoto na uhalisi wa maisha hadi wanakuwa marais. zama zimebadilika.

Then don't go to the church or if ur a Muslim then don't go to the Masjid?

Why ?

Kwa sababu waislamu hufuata vile Mtume alikuwa anafuata.

Na wakristu hufuata vile Yesu alikuwa anafuata.
 
Kukaa karibu na Mahakama sio kujua sheria mkuu.

Sio kweli mkuu. Walimu wana morali kwa sababu kwenye shule hizo watoto kila siku wanaenda na buku buku za remedial.

FYI; Kizazi cha Tiktok ni Gen Z wote mkuu bila kujali amesoma Kayumba au St. EM.

Hata wewe mzazi mwenye kipato cha kawaida ambae unapoteza hela zako kumlipia mtoto wako shule za EM, akimaliza halafu ukawa hujamuwekea mazingira ya kazi wewe kama wewe bila kuitegemea serikali, mtoto ataendesha bodaboda tu au kama ni wa kike atadanga tu.

Kinacho amua kazi ama shughuli atakayo ifanya mtoto baada ya kuhitimu ni mfumo wa uchumi wa nchi na sio shule aliyo soma. U need to understand this mkuu.

Hii inawahusu wote Kayumba na Ems pia. Huko EMs watoto wanakuwa wanajua tu kiingereza cha kuunga unga lakini mambo mengine ya msingi hakuna wanacho kijua. Ndio maana nasema hakuna haja ya kupoteza hela zako huko EM kwa sababu thamani ya kinacho patikana huko haiendani na thamani ya pesa unayolipa.
Njoo field ujionee acha kupiga porojo hizo bukubuku nikupashe tu walimu tunazila na kufundisha ni kawaida sana ni sawa na kula pesa za wazazi za bure.

Hiyo shule aliyosoma injinia hersi sahivi inaitwa gerezani primary uzuri nimefundisha hapo miaka ya 2020 napajua nje ndani watoto wanaosoma pale 90% wanatokea keko,nenda kajionee.
 
Njoo field ujionee acha kupiga porojo hizo bukubuku nikupashe tu walimu tunazila na kufundisha ni kawaida sana ni sawa na kula pesa za wazazi za bure.

Hiyo shule aliyosoma injinia hersi sahivi inaitwa gerezani primary uzuri nimefundisha hapo napajua nje ndani watoto wanaosoma pale 90% wanatokea keko,nenda kajionee.
Muongo wewe
 
Miaka ya nyuma Tuliosoma Kayumba ni wengi sana na tulichanganyika. Ilikuwa kawaida kabisa kusoma na mtoto wa tajiri fulani.
 
Hivi unajua watoto wote wa Mawaziri na hata Late Julius Kambarage Nyerere walisoma tu hizi shule ambazo ni za wote ?

Nadhani kizazi cha hapa kati kinahitaji somo la kujua tulipotoka na kuweka mambo kwenye perspective (what really matters); Matabaka / Classes na Inferiority ipo zaidi kwenye Mind kuliko uhalisia...
 
It doesn't change my point kwamba alisoma Kayumba.

We are not talking about his children mkuu. We are talking about him. Usitoke kwenye mada.
Wewe ni mjinga mmoja, if you're just talking about him hiyo ya kubeza St. Schools ameisema wapi?

Je, hawa watoto wetu pia ni him?
 
Then don't go to the church or if ur a Muslim then don't go to the Masjid?

Why ?

Kwa sababu waislamu hufuata vile Mtume alikuwa anafuata.

Na wakristu hufuata vile Yesu alikuwa anafuata.
kuna wasioenda hata going to church in mosques kumekuwa modernized kama ilivyo kwa elimu. ndo maana unakuta bible na Quran kwenye tablets na simu, watu wanakalia miswala mizuri, church same kwaya wanapiga keyborads, na drum machines yote hiyo ni kuto live in the past...
 
Akijibu swali la kizushi kutoka kwa Oscar Oscar Wasafi TV, kwamba👇👇

"Inasemekana ulipokuwa mtoto ulikuwa unaonekana kama una mapenzi na Simba.

Hata mlipokuwa mkicheza chandimu Simba na Yanga wewe ulikuwaga unachagua upande wa Simba, ila sasa hivi umekua Rais wa Yanga. Hebu tuambie hii imekaaje"

Majibu ya Injinia Hersi sasa👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

Nimekulia jijini Dar es salaam. Nimesoma katikati ya jiji, shule ya Msingi Kidongo Chekundu( AMBAYO NI KAYUMBA/ the emphasis is mine)

Wakati Mimi nasoma Kayumba, wewe ulikuwa kwenu Kaliua. Huwezi kuwa na taarifa zangu za utotoni. Mjini umekuja juzi".

..........

Shule za Kayumba huwaandaa watoto wa kitanzania na uhalisia halisi wa maisha ya kitanzania.

Ewe mzazi, ewe miezi. Acha kuendelea kupunwa.

Huna sababu yoyote ile kuendelea kupoteza hela zako kwa kumlipia mtoto wako pesa nyingi kwenye shule za English Medium ili atakapo maliza chuo aende akawe winga Kariakoo.

Shule za English Medium hazina umuhimu wala upekee wowote kwenye future ya mtoto wako.

Upekee na umuhimu huo umewekwa na wamiliki wa shule hizo ili wakupige hela.

Hizo hela zako unazo poteza ni bora uzitumie kuwanunulia watoto wako assetts halisi kama vile nyumba, mashamba, viwanja, hisa n.k.

Waache wasome Kayumba huku ukiwasimamia kwa ukaribu sana ili wafike sekondari hadi chuo.

Jambo hilo liende sambamba na kuwafundisha biashara na skills za maisha.

Unapolipa mamilioni kwenye shule za English Mediums unacho kifanya ni 👇👇👇👇👇

" kula nyumba, mashamba, viwanja, biashara za watoto wako etc, in the form of an evil spirit who is known as school fees"

Unakuwa kama mtu asiekuwa na akili sawa sawa wala maarifa.

Unamsaidia mmiliki wa shule ya EM kujenga nyumba za watoto wake, kununua magari, mashamba, viwanja n.k vya watoto wake kwa kutumia pesa ambazo ungepaswa kuzitumia kuwajengea watoto wako.

U mjinga kiasi gani wewe. Yani unatoa maji kwenye kisima chako unaenda kuyamwaga kwenye bahari ya mtu mwingine???.

Narudia tena. Shule za English Medium hazina upekee wala umuhimu wowote ule. Upekee na umuhimu huo una exist kwenye mawazo yako wewe mtanzania ambae umekuwa brainwashed na propaganda za Wamiliki wa shule hizo..

Usisahau kwamba👇👇👇

Elimu ya msingi ni kwa ajili ya watoto kukua na kusocialize na wenzao Plus kupata just basic knowledge kama vile kujua kusoma na kuandika, KUHESABU, HISABATI, basic geography, basic English Etc. Huhitaji kulipa mamilioni kwa mtoto wako kupata vitu hivyo

👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

MAKING KAYUMBA SCHOOLS GREAT AGAIN 👉👉👉👆 MAKAGA CAMPAIGN.
Hizi ni mbwembwe tuu,maraisi wote nchii hii walisoma kayumba
 
Back
Top Bottom