Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Kwa post hasa itakayokwenda viral sana.hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu
aisee, this is per day? na unatumia bando lako auMkuu Lumumba buku 7 is real.View attachment 3560550
Zipo robot za likes, views na comment piaa. Na comment ziko mchakanyiko hasa hasa imoji.Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!
1. Profile zote zimeshare content moja
2. Profile nyingi hazina picha halisi,
Aisee kama kuna mtu alikuwa anabisha nashauri fanya utafiti kama wangu utaona ni wapi kama nchi tumefikia!
Hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu
Tupeane connection
Na wewe ni roboti la kupingapinga? Basi sawa.Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!
1. Profile zote zimeshare content moja
2. Profile nyingi hazina picha halisi,
Aisee kama kuna mtu alikuwa anabisha nashauri fanya utafiti kama wangu utaona ni wapi kama nchi tumefikia!
Hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu
Tupeane connection
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzuMbona kitambo sana hiyo.
Ww unadhani Lucas anapiga mapambio bure Humu, mm namkubali sana Lucas, jamaa anakula pesa afu anawaacha wanaJF wakitokwa na mapovu humu 🤣
Na wewe ni roboti la kupingapinga? Basi sawa.
Mm nakukubali sana ww bwege, kula pesa yako achana na hawa mazuzu wa JF 🤣Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama mazuzu
Hii inshu ni halisi wakuu, leo wakati napitia kwenye chombo kimoja cha habari nilikutana na habari ya mkuu wa mkoa wa Dar akitoa taarifa ya zawadi ya IDD ya mama basi nikajaribu kupitia comment zile za kupongeza tu.. nikaona mambo ya ajabu sana!
1. Profile zote zimeshare content moja
2. Profile nyingi hazina picha halisi,
Aisee kama kuna mtu alikuwa anabisha nashauri fanya utafiti kama wangu utaona ni wapi kama nchi tumefikia!
Hivi wanalipa kwa comment, kwa siku, wiki au kwa mwezi au wanalipa kwa profile? anayejua wakuu
Tupeane connection
Wanapewa simu na access ya internet kwa package tofauti.aisee, this is per day? na unatumia bando lako au