Kumbe Rais Mpya wa TFF (mtarajiwa of course kama wajumbe wana akili) ni mdogo wake Dioniz Malinzi. Kwaiyo Mwenyekiti wa BMT na Rais wa TFF wote ndugu moja.
Ila tukiacha masihara wagombe wote safari hii hawafai na tunampenda Malinzi kwakuwa ndio ana kauhafazali. Nyamlani ni tapeli kabisa. Na kama mnavyojua TFF ni shamba la bibi tukimpa Nyamlani atafilisi kabisa
Loveness yupi. Huyu Hapa au?
Unaishi wapi?Aisee kumbe huyu dada ni Iweee. Ni mzuri sana aisee
mama yake ndo mto wa Tanga.
Wewe una akili gani kujaribu kuwatukana wajumbe wote? Unatumia vigezo gani kumuidhinisha malinzi huku ukimtukana Nyamlani? Mara unadai wagombea wote hawafai halafu unampitisha Malinzi. Mnafiki wewe.
Aisee kumbe huyu dada ni Iweee. Ni mzuri sana aisee
nami ndio nashangaa mkuu!Mmeacha kujadili Jamal mmehamia kwa Diva!
Loveness yupi. Huyu Hapa au?
Huyu ndio Diva? Si haba
We ndio bogus kabisa.hujamuelewa nini mtoa post? Kasema wote hawafai,ila angalau Malinzi kwa sababu rais wa tff lazima atoke ndani ya haohao wabovu.
Kumbe Diva ni Muhaya , mbona huwa ana sema kao ni Tanga ?
Dionis...kuna Malinzi alikuwa anapambana na Mufuruki kuhusu uongozi wa golf pale Gymkhana. ndo yupi kati ya hawa?
Ni shostito wangu.Diva ni shosti wako?(
siyo Diva sura mbaya.Kumbe Diva ni Muhaya , mbona huwa ana sema kao ni Tanga ?
Kumbe alikuwa mzuri ila ndio kaolewa na mgangaLoveness yupi. Huyu Hapa au?
Kaolewa na mganga sasa mfuate uone..Nasikia hakajui kusema hapana inapotokea watu wanataka mashimo mwilini mwake.