Kumbe Jana Mayele katia kambani goli moja pekee na la ushindi na hatuambiani?

Bila siye manyani

Kwanza nyani kibailojia ni buinamu yetu maana tunafanana genetically

Ila nyie ni mbumbumbu

Mbumbumbu ni jitu zero brain,ndezi kings halijiui lipolipo tu kama msukuke
Tuanze mojamoja.Kwa hiyo umekubali bila shuruti kwamba ninyi utopolo ni manyani?Sawa?
 
Hata wewe ni nyani genetically

No big deal

Au unataka ushaidi wa kisayansi na kibailojia kuwa binadamau na nyani ndugu!?
 
Mimi natumia biblia katika maisha yangu kuthibitisha uumbwaji wangu mwana Simba.Guvu moya!Wewe utopolo ni nyani anayeongea na kuandika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aahaaa

Ohoo kumbe ndo kichaka ulichoamua kujifichiamo

Kwahiyo biblia ndo inayokuambiwa kuwa ukatae hadi ushaidi ambao ni WA wazi tena unadhibitishika kisayansi!!?
 
Nimeukataa.Mbona hawabadiliki siku hizi?Kuna dawa wamepewa wasibadilike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…