Kumbe Jana Mayele katia kambani goli moja pekee na la ushindi na hatuambiani?

Kumbe Jana Mayele katia kambani goli moja pekee na la ushindi na hatuambiani?

Kilimbatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
4,331
Reaction score
5,865
Kumbe jana watu wametetema huko kwa farao,

Ndugu muhasibu daraja la kwanza ebu njoo huku utupe maoni Yako Mayele ni liability au ni asset

OKW BOBAN SUNZU
Screenshot_20231009-010400~2.png
Screenshot_20231009-010006~2.png
Screenshot_20231009-010026~2.png
 
Bila siye manyani

Kwanza nyani kibailojia ni buinamu yetu maana tunafanana genetically

Ila nyie ni mbumbumbu

Mbumbumbu ni jitu zero brain,ndezi kings halijiui lipolipo tu kama msukuke
Tuanze mojamoja.Kwa hiyo umekubali bila shuruti kwamba ninyi utopolo ni manyani?Sawa?
 
Tuanze mojamoja.Kwa hiyo umekubali bila shuruti kwamba ninyi utopolo ni manyani?Sawa?
Hata wewe ni nyani genetically

No big deal

Au unataka ushaidi wa kisayansi na kibailojia kuwa binadamau na nyani ndugu!?
 
Hata wewe ni nyani genetically

No big deal

Au unataka ushaidi wa kisayansi na kibailojia kuwa binadamau na nyani ndugu!?
Mimi natumia biblia katika maisha yangu kuthibitisha uumbwaji wangu mwana Simba.Guvu moya!Wewe utopolo ni nyani anayeongea na kuandika.😂😂😂😂
 
Mimi natumia biblia katika maisha yangu kuthibitisha uumbwaji wangu mwana Simba.Guvu moya!Wewe utopolo ni nyani anayeongea na kuandika.😂😂😂😂
Aahaaa

Ohoo kumbe ndo kichaka ulichoamua kujifichiamo

Kwahiyo biblia ndo inayokuambiwa kuwa ukatae hadi ushaidi ambao ni WA wazi tena unadhibitishika kisayansi!!?
 
Back
Top Bottom