Kumbe Kabila la Warangi unaweza kumuoa binamu kwa utani kisha ndoa ikawa ya kweli

malaya
washirikina
wavivu
wabinafsi

ukiwakuta mjini kila mmoja utasikia ". shangazi waane,
mjomba waane,
dada waane,
kaka waane...kumbe wanakulana wao kwa wao...

kama na wewe ni mrangi n'samehen'samehep
Sio kweli, hivo kitu kila kabila wanayo

Kwanza hizo tabia ni sifa ya kila kabila kwa mtu mmoja mmoja

Wavivu kiaje?, mbona hawa watu wanamashamba makubwa sana huko kondoa, kiteto nk. Kwanini unawachafua hivo?

Kuna kabila hamna watu malaya?, wavivu?, wabinafsi?, washirikina?

Labda taja kabila lako ili tukujaji
 
kama kuoana na binamu ni tamaduni ya makabila yetu mbona watu wanapinga sana wakisikia hizi habari, hasa kutoka Kwa Waarabu? au wote wanaopinga ni wakaka na wadada "wa mjini"
Kati ya wageni wakoloni waliochafua tamaduni zetu ni mwarabu

♦️ Kaleta hizo mila za kuoana ndugu

♦️ Kaharibu kiswahili chetu cha visalia

♦️ Akizidiwa ujanja kitu chochote anatumia yale madude ambayo akina mwamposa wanayopambana nayo na formula ya kuyatengeneza kamwachia mswahili anayefuata mila zake

♦️ Kaleta kitu kinaitu suna🙆‍♀️🙆‍♀️
 
Hawa watu wana wanawake warembo sana
 
Kinacho fanya waragi kutoendelea ni inferior complex kutojiamini kwamba ni jamii ya bant, wanajifanya waw ni wa arabu wametokea uarabuni Saudi Arabia kuja Tanzania.
Hmmm
 
Kwa hizi siku chache nimegundua humu kuna watu wa hovyoooo sanaaa
 
Mnajadili watu ambao hawawajibu kitu hamuoni mnapoteza muda?
 
Hapo kwenye uvivu hata mimi simuungi mkono, ila hayo mengine no comment.
 
Unaweza kuandika kirangi mkuu sifa ya lugha zisizo za kibantu ni herufi na maneno kitokuishia na vowels.
1. Nalomba........................= Naomba

2. Churi ................................= Asubui

3. Jaboa.................................= Safi

4. Yaanda.......................= Njoo

5. Teenga.....................= Karibu

6. Chuunu ........ni sawasawa na kile wachaga wa kibosho wanachoita .....Kinu

Hayo yote ni mifano ya maneno ya kibantu otherwise unashindwa kutofautisha kisandawe ambao nao ni wenyeji wa Dodoma na warangi au wa iraq wa mbulu kama watu hapa wanavyochanganya warangi na wanyaturu wa Singida
 
Binamu ni nyama ya hamu mkubalie tu mshikaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…