Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu ni nyama ya hamu mkubalie tu mshikaji
mimi naomba kuuliza swali kuhusu kuoana mabinamu, je kiafrika, binamu wa binamu yako ni ndugu yako kiasi kwamba huwezi kufunga naye ndoa? kumbuka hamjachangia damu na huyo binamu wa binamu! au ni kijisababu tu huyu binamu wa binamu alitunga kunitolea nje 😝😝
SIO UDINI, NI HISTORIA.Japokuwa utani huu haupo sana kwa sasa kutokana na ujio wa dini. Hasa dini ya Kiisilamu ilifika mapema eneo hilo na kuwa sehemu ya utamaduni wa Warangi.
uislam ukishasema uoe hata angekuwa dada yako utaoa tu ndugu yangu. ndio maana tunasema ni dini ya hovyo.Mimi ni Muislam, na dini yangu inaruhusu kuowa mtoto wa shangazi, mjomba, baba mdogo/mkubwa. Hayo ya mila za kiafrika hayana nafasi kwenye uislamu. Uisilamu ukishahalalisha jambo, hayo ya mila n.k hayana nafasi mbele ya Uisilamu. Ukimuona muislamu anashangaa why waarabu wanaowana ndugu! huo ni mtihani haswaa kwa waislamu wasio elewa hili.
Uislamu ni dini nyepesi.