Kumbe Kabila la Warangi unaweza kumuoa binamu kwa utani kisha ndoa ikawa ya kweli


Mimi ni Muislam, na dini yangu inaruhusu kuowa mtoto wa shangazi, mjomba, baba mdogo/mkubwa. Hayo ya mila za kiafrika hayana nafasi kwenye uislamu. Uisilamu ukishahalalisha jambo, hayo ya mila n.k hayana nafasi mbele ya Uisilamu. Ukimuona muislamu anashangaa why waarabu wanaowana ndugu! huo ni mtihani haswaa kwa waislamu wasio elewa hili.


Uislamu ni dini nyepesi.
 
Japokuwa utani huu haupo sana kwa sasa kutokana na ujio wa dini. Hasa dini ya Kiisilamu ilifika mapema eneo hilo na kuwa sehemu ya utamaduni wa Warangi.
SIO UDINI, NI HISTORIA.
POPOTE ULIPO UISLAMU, UMASKINI UPO.
USITOE POVU NJOO KWA HOJA, NIANZE KUZIPANGUA BABEKI
 
uislam ukishasema uoe hata angekuwa dada yako utaoa tu ndugu yangu. ndio maana tunasema ni dini ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…