Kumbe Kenya ni maskini zaidi kuliko Tanzania

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Kenya: Watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini: 42%

Tanzania: Watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini : 24%
 
Jiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Hapo hapo ongezea na 98% ni majinga
 
Hapana mzee.Japo siwakubali hao jamaa lakini kiuchumi wapo mbali kidogo.Uchumi wao unaendeshwa na sekta binafsi kwa hivyo watu wake wapo vizuri mfukoni.Kuanzia service industry mpaka manufacturing inashikiliwa na private sector.Watu wengi wanaajira Kenya kuliko kwetu na income ni nzuri individually.
 
Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%

Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%

Hivi umeleta taarifa hii hapa kwa minajili gani na hasa ikiwa ni taarifa ya kupotosha kabisa!
Inaonekana taarifa yenyewe inaungwa mkono na 'moderator' kwa kufuta maoni yanayorekebisha uongo huu. Kuweka uongo kama huu hakuwezi kuifanya Tanzania iwe bora zaidi ya nchi nyingine.

La kushangaza ni kwamba hata namba zilizowekwa haionyeshwi zimetoka wapi!
Moderator uliyefuta mchango wangu hukutenda haki hata kidogo. Hii ni mara ya pili kufanyiwa hivi. Nitakata rufaa ukiendelea kuninyima haki ya kuwasilisha maoni yangu bila ya sababu inayoeleweka. Unapofuta mchango wa mtu aleza sababu aelewe. Huwezi kufuta tu na kukaa kimya maadam tu wewe hukupenda yaliyoandikwa.

Tufungwe midomo kule, na huku pia mnataka kutuziba tusiseme yaliyo ya kweli?
 
Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%

Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Kenya ni 42%
Tanzania ni 36%
Tofauti si kubwa kihivyo
 
Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%

Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Mmeanza! yaani kununua ndege tayari mmeshaanza kuwaona wenzenu masikini kuliko ninyi. Hivi siku mkiwa na utitiri wa viwanda na ndege kama wao, si ndiio mtawaona hata Qatar kuwa ni masikini wa kutupa!!!
 
Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%

Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Kichwa cha uzi kingesomeka "Kumbe Kenya asili mia ya masikini kubwa zaidi kuliko Tanzania."
 
Jiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Sasa unachobisha ni nini kaka,nadhani hata Kenya yenyewe umeishia kuijua kwenye Atlas,tembea uone ndio utajua wapi kuna umasikini zaidi kati ya Tanzania na Kenya ,kwanza achana na hizo takwimu nenda tu katembee ndio ujje hapa uanze ubavicha wako
 
Hizo takwimu sizo labda za tbccm,huwezi linganisha ubepari na ujamaa ni sawa na pikipiki na baiskeli,wakenya huwezi linganisha na maiti zinazotembea
 
Moderator wahovyo sana sikuhizi siwapendiiii najifunza matusi ya kijaluo nawaambia mtakoma nyuzi kama hii mnaiachaje inaendelea kupumua😙😙😙
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…