Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari ushajadili kwa kutoa Msimamo wakoMADA KAMA HIZI HUWA SIPENDI KUZIJADILI
Hapo hapo ongezea na 98% ni majingaJiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Aisee usilinganisha Kenya na huko kwa wajingaKenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Kenya ni 42%Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Mmeanza! yaani kununua ndege tayari mmeshaanza kuwaona wenzenu masikini kuliko ninyi. Hivi siku mkiwa na utitiri wa viwanda na ndege kama wao, si ndiio mtawaona hata Qatar kuwa ni masikini wa kutupa!!!Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Kichwa cha uzi kingesomeka "Kumbe Kenya asili mia ya masikini kubwa zaidi kuliko Tanzania."Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%
Sasa unachobisha ni nini kaka,nadhani hata Kenya yenyewe umeishia kuijua kwenye Atlas,tembea uone ndio utajua wapi kuna umasikini zaidi kati ya Tanzania na Kenya ,kwanza achana na hizo takwimu nenda tu katembee ndio ujje hapa uanze ubavicha wakoJiwe kisha anza kujifagilia kwa takwimu fake. Waruhusuni TWAWEZA wafanye utafiti muone kama hawajapata 92% ya watanzania wanaishi chini ya mstari wa umaskini.
Hapo hapo ongezea na 98% ni majinga
Utafiti huu umefanywa na nani?Kenya: Watu wanao ishi chini ya mstari wa umaskini: 42%
Tanzania: Watu qanao ishi chini ya mstari wa umaskini : 24%