Kumbe Kenya ni maskini zaidi kuliko Tanzania

Kumbe Kenya ni maskini zaidi kuliko Tanzania

Ni ujinga wa kiwango cha lami kujifanya umetembea Kenya wakati hata Tanzania yenyewe huijui. Kwa kipi hasa kilichopo Tanzania hadi useme umaskini siyo mkubwa? Tembea kwanza Tanzania ndipo utoe matapish yako tena.
Mbona mapovu mengi hivyo.hebu ntajie ukweli unaoujua wewe kuhusu takwimu sahihi.?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Robo tatu ya kenya nishaitembelea.umaskini umetapakaa. Unaweza kkusanya wakenya 1000.wenye unafuu kimaisha unaw3za kuta ni %10 tu.hawa wengine ni manamba na vibarua kwenye mashamba makubwa ya mabepali.ukikusanya watu 1000 tnznia.wenye unafuu wa maisha unaweza kura ni %60. Na hata waliobaki utakuta wanamiliki ardhi.wana tung'ombe na tu kondoo.na wana nyumba zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema Kenya watu wana ajira kuliko bongo ???? Usichokijua ni sawa na usiku wa giza
Hapana mzee.Japo siwakubali hao jamaa lakini kiuchumi wapo mbali kidogo.Uchumi wao unaendeshwa na sekta binafsi kwa hivyo watu wake wapo vizuri mfukoni.Kuanzia service industry mpaka manufacturing inashikiliwa na private sector.Watu wengi wanaajira Kenya kuliko kwetu na income ni nzuri individually.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema Kenya watu wana ajira kuliko bongo ???? Usichokijua ni sawa na usiku wa giza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unabisha??
jobs-1.jpg
 
Yet another shitty post to make Bongos feel better...
your govt has banned anyone from contradicting govt statistics..any data released from TZ cannot be trusted.. we treat it as govt propaganda.
 
Robo tatu ya kenya nishaitembelea.umaskini umetapakaa. Unaweza kkusanya wakenya 1000.wenye unafuu kimaisha unaw3za kuta ni %10 tu.hawa wengine ni manamba na vibarua kwenye mashamba makubwa ya mabepali.ukikusanya watu 1000 tnznia.wenye unafuu wa maisha unaweza kura ni %60. Na hata waliobaki utakuta wanamiliki ardhi.wana tung'ombe na tu kondoo.na wana nyumba zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo.wa uchumi.wa kenya ni tofauti sana na tz hili ndilo linafanya kenya kuwa na watu wengi kwenye umaskini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom