Kashinje Bulugu
JF-Expert Member
- Nov 4, 2018
- 245
- 191
Wewe ni nani? Naamini unaposema wao una maanisha wakenya.je wewe ni nani?!Mmeanza! yaani kununua ndege tayari mmeshaanza kuwaona wenzenu masikini kuliko ninyi. Hivi siku mkiwa na utitiri wa viwanda na ndege kama wao, si ndiio mtawaona hata Qatar kuwa ni masikini wa kutupa!!!
Sent using Jamii Forums mobile app