Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamani! kumbe hata ricky ross ni mnyakyusa eti.. jana kahojiwa bet kasema eti yeye anaitwa Erick Mwairossi
We si unamuona macho kama dagaa.
![]()
Inasemekana huyu jamaa ni muha wa kibondo kigoma yeye mwenyewe amekiri hilo
Mbona wengi tu mfano kama Ludacriss ni mkurya wa Natta mkoani Mara sema wengi walikuwa hawajui ila ye mwenyewe alikili juzi alipokuwa akohojiwa na MTV BASE
hakuna ajabu hapo P Diddy ana asili ya somalia mogadishu,Nas Eskoba anatoka Ngeria Denzel Washingtone nae nadhani ni muhaya kuna siku kwenye movie yake inaitwa mississipi masala alisema iwe bojo kaisiki karungi ni nkwenda ambalo ni neno la kihaya au kwa vile iliigizwa uganda