Kumbe kila mtu anaona raha upande wake

πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈnakufata hukohuko usiniache naye hapa naogopa hiyo miwani yake mie
 
Akkuuu mi nmekazia maarifa we ndyo umeingia deep hadi umetoa na siri za kambi
Umejisahaulisha? Juzi mlikuwa mnapanga nini? 🀣🀣🀣
Mwenzio toka juzi usingizi hapati, anawaza shuhuli utayompea uliomuahidi
 
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈnakufata hukohuko usiniache naye hapa naogopa hiyo miwani yake mie
We baki kwanza emu, 🀣🀣🀣
Uogope Miwani ndo inakwichy??
 
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈnakufata hukohuko usiniache naye hapa naogopa hiyo miwani yake mie
Gf nasubiri tu mwaliko kwa sasa, tuochelewe sana haya mambo hayataki kusubiri sana🀣
 
Muasherati mkubwa ww πŸ˜€ Naona code zote umemwaga live bila chenga
 
🀭
 
Msenge wewe ulivyo maliza comment yako umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…