Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Oct 13, 2023 #81 min -me said: Mama mchungaji apo ndipo mnapoikana imani kumbe[emoji23] Click to expand... Wewe, kwani watumishi hawana wake na waume zao, hawafanyi mapenzi... Hujawahi kwenda kufundishwa seminar za wanandoa wanaambiwa makubwa kuliko haya...
min -me said: Mama mchungaji apo ndipo mnapoikana imani kumbe[emoji23] Click to expand... Wewe, kwani watumishi hawana wake na waume zao, hawafanyi mapenzi... Hujawahi kwenda kufundishwa seminar za wanandoa wanaambiwa makubwa kuliko haya...
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Oct 13, 2023 #82 Donatila said: Wewe, kwani watumishi hawana wake na waume zao, hawafanyi mapenzi... Hujawahi kwenda kufundishwa seminar za wanandoa wanaambiwa makubwa kuliko haya... Click to expand... Mlipaswa ata mapenzi msifanye kama yesu 😂
Donatila said: Wewe, kwani watumishi hawana wake na waume zao, hawafanyi mapenzi... Hujawahi kwenda kufundishwa seminar za wanandoa wanaambiwa makubwa kuliko haya... Click to expand... Mlipaswa ata mapenzi msifanye kama yesu 😂
Donatila JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,772 Reaction score 22,598 Oct 13, 2023 #83 min -me said: Mlipaswa ata mapenzi msifanye kama yesu [emoji23] Click to expand... YESU ni MUNGU sisi ni wanadamu... Sema ukiwa na Imani sana, huwi na mihemko mikali ya tendo la ndoa...
min -me said: Mlipaswa ata mapenzi msifanye kama yesu [emoji23] Click to expand... YESU ni MUNGU sisi ni wanadamu... Sema ukiwa na Imani sana, huwi na mihemko mikali ya tendo la ndoa...