Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

This is true.

Unajua mazoezi mwanzoni utaona mateso sana. Ila amini kuna mida kama after a week hivi ikifika mida unatamani sana kula tease. This is for jogging and evening run sijajua mazoezi mengine.
Hata weight lifting, aerobics, calisthenics ni hivyo hivyo... mwili ukizoea una adapt faster inakuwa ngumu kuacha na usipofanya unajihisi hujakamilisha jambo,

So ukizingatia inakuwa Lifestyles yako...

Ni kama vile ukijizoesha kubweteka na kula junk foods
 
Helloo JF!!

Hili sikulijua kabla au nililichukulia poa. Ni week ya tatu tangu nianze ratiba ya ufanyaji mazoezi kila siku tatu za juma saa 11 alfajiri. Hii ni baada ya siku moja kulazimika kukimbia kidogo umbali wa kama mita 180 hivi kuuwahi usafiri.

Nikajikuta natweta mno kama moyo uchomoke. Hapo ndio akili ikashtuka nikagundua mwili nimeuachia mno ingawa si mnene lkn pumzi sina kabisa.

Ikanifanya niweke palepale alarm kwenye simu yangu siku ya jumatatu, jumatano na ijumaa saa 11 kufanya jogging kidogo kwa dkk 30. Nilichagua hizi siku sababu haziangukii weekend so, ni rahisi kutoharibu hii ratiba.

Siku ya kwanza na ya pili nikakimbia round kumi kuzunguka uwanja. Siku zilizofuta nakimbia round kumi za kawaida(speed ya kawaida) na round tano za kasi kidogo.

Kwa sasa kiukweli naona tofauti yaani nikimaliza najisikia poa sana ni kama mwili umerelax vyema. Hata kwenye shughuli zangu naona tofauti ilikuwa nikifika nakuwa na uchovu mno asubuhi mwili unakawia mno kuchangamka. Kwa sasa hata usingizi nalala mzuri.

Nimeamua hii kwa sasa iwe moja ya ratiba ya maisha yangu.
Binafsi napenda kukimbia. Huwa nakimbia u mbali wa km 15 kwa mda wa dakika 54 paka lisaa ivi. Najihis vizur kweli.
Mwanzo magoti yalikua yanauma sana na kifua kilikuwa kina bana sana ila saiv nimezoea. Siku 3 kila wiki
 
Tatizo langu ni kupatwa na kichomi upande wa kushoto, wakati wa kukimbia. Nianze tena tizi la kukimbia siku 4-5 kwa wiki.
 
This is true.

Unajua mazoezi mwanzoni utaona mateso sana. Ila amini kuna mida kama after a week hivi ikifika mida unatamani sana kula tease. This is for jogging and evening run sijajua mazoezi mengine.
....Mazoezi Sio ' Tease ' ! Ni Exercise...Au tohoa TU Kiswahili..Tizi..!![emoji846][emoji846] [emoji846]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom