Kumbe kufanya mazoezi ni raha hivi

This is true.

Unajua mazoezi mwanzoni utaona mateso sana. Ila amini kuna mida kama after a week hivi ikifika mida unatamani sana kula tease. This is for jogging and evening run sijajua mazoezi mengine.
Hata weight lifting, aerobics, calisthenics ni hivyo hivyo... mwili ukizoea una adapt faster inakuwa ngumu kuacha na usipofanya unajihisi hujakamilisha jambo,

So ukizingatia inakuwa Lifestyles yako...

Ni kama vile ukijizoesha kubweteka na kula junk foods
 
Binafsi napenda kukimbia. Huwa nakimbia u mbali wa km 15 kwa mda wa dakika 54 paka lisaa ivi. Najihis vizur kweli.
Mwanzo magoti yalikua yanauma sana na kifua kilikuwa kina bana sana ila saiv nimezoea. Siku 3 kila wiki
 
Tatizo langu ni kupatwa na kichomi upande wa kushoto, wakati wa kukimbia. Nianze tena tizi la kukimbia siku 4-5 kwa wiki.
 
This is true.

Unajua mazoezi mwanzoni utaona mateso sana. Ila amini kuna mida kama after a week hivi ikifika mida unatamani sana kula tease. This is for jogging and evening run sijajua mazoezi mengine.
....Mazoezi Sio ' Tease ' ! Ni Exercise...Au tohoa TU Kiswahili..Tizi..!![emoji846][emoji846] [emoji846]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…