Kumbe kuliwa nauli ni jambo jepesi sana

Kumbe kuliwa nauli ni jambo jepesi sana

Moyo wa mtu msitu, dakika za mwisho kabisa ndo unajua kua nauli imeliwa inabidi utulie, wadada wamekua wachakaramu sana. Bora mtu aombe tu hela kuliko hivi.
Kuna Dem mmoja alikuwa ananisimulia vile anavyokula nauli, anasema nauli Ni tamuuu.

Anasema kuna muda anakula nauli halafu anasahau appointment inayofuata, Sasa bas akipigiwa simu anakereka kinyama.
 
Unaliwaje nauli kizembe hivyo usiendeshwe na mihemuko kwa kuaminishwa na mwanamke ujinga mwisho wa siku unazimiwa simu. Acha aje na nauli yake kama anakuelewa,ukiona unalazimishiwa utume nauli ujue unapigwa.
 
Hata hulazimishwi, ni unatuma mwenyewe baada ya iukuseti na wewe ukajaa
 
Moyo wa mtu msitu, dakika za mwisho kabisa ndo unajua kua nauli imeliwa inabidi utulie, wadada wamekua wachakaramu sana. Bora mtu aombe tu hela kuliko hivi.
Shs ngap boss????
 
Back
Top Bottom