Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

Kumbe kumuita Babe mwanamke asiye wako ni kosa kisheria?

Chaos Master

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2021
Posts
636
Reaction score
1,310
Mwanaume anayetambulika kwa jina Jamiu, mkazi wa Ijebu Ode, katika jimbo la Ogun nchini Nigeria, ameshutumiwa kwa kumuita mke wa mtu, Opeyemi Adegbesan "babe", jina ambalo sio analolitumia katika akaunti yake ya WhatsApp.

Mwanaume huyu kwa sasa anashitaki kwa jaji kwasababu anasema yeye ndiye aliyemnunulia mke wake gauni la harusi na hivyo mwanamke mwanaume mwingine hawezi kumuita baby.

Jamiu anakana mashitaka kwamba alivuruga amani katika ndoa baina ya mwanamke huyo na mume wake Akintunde Adegbesan tarehe 19 Septemba.

Mwanamke mwingine alipokea ujumbe kwenye kikundi cha WhatsApp ulioandikwa 'Good Morning Babe' kutoka kwa nambari za simu 08059491562 na 08138868837, pia alishitaki. Tukio hilo limekuwa likijadiliwa kwenye mtandao, huku watu mbali mbali wakitoa maoni mbali mbali kuhusu tukio hilo.

Source Bbc Swahili
 
Back
Top Bottom