Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Mnon ani mishahara ya kawaida sana, uliposema peponi nikajua mishahara inayoanzia atlist 10m
 
Gap lipo kwenye posho, malipo kwa wakati, promotion kwa wakati, bajeti ya kuendesha kitengo.

Siyo ajabu kitengo cha LGAs kikatakiwa kijiendeshe kwa 10M kwa mwaka ambayo nayo hiyo wasiipate. Hali ni tofauti kwa M
I hear you.
 
Mshahara huujawahi kutosha. Binafsi kwa sasa nafanya kazi kama adventure kila baada ya miaka mitano nahama taasisi ili kupata changamoto mpya. Uzuri mshahara wangu haushuki huwa unabaki palepale. Nimeshafanya kazi taasisi mbili za wizara moja sasa nahamia taasisi ya wizara nyingine nipo kwenye michakato.
 
Yah kilimo ukikiwezea kinakutoa ,mimi ni mwalimu nawekeza machungwa aina ya valencia Muheza-Tanga ,nikiwekeza milioni 15 msimu ukifika chungwa moja shambani nauza sh 100 ,mwisho wa msimu sikosi milioni 25 mpaka 30 kama faida
Safi sasa madogo hawajui wanatoka vijijini kwenye fursa wanakuja vyuo mjini wakifika mjini wanataka maisha ya mjini na kazi za mjini kumbe pesa wameacha uko kwao kinachotakiwa ni kuwa connected na familia uko kuna watu wapo mjini ila uku vijijini kwao wana mabanda ya kuonyesha mpira wana maduka wana machine za kusaga wametafuta mtu mmoja kwenye familia mweye akilia anamsimamia ikifika jioni ni sm na kupokea mihamara na kula bata
 
Kwani walio serikali kuu wana salary scales tofauti na waliopo huko unakoita Tamisenga ?
tamisenga ni salary -to salary, wakati kule central gavoo wana posho za vikao, safari, miradi nk mfano mchukue afsa mifugo wa tamisenga na mlinganishe na mwenzie alieko wizarani ni mbingu na ardhi chief Kipangaspecial
Kwani walio serikali kuu wana salary scales tofauti na waliopo huko unakoita Tamisenga ?
a
 
Duu Sasa iyo mishahara mbona ni posho tu za ma engineer wengi sana wako uko kwenye sekta ya ujenzi na hata kampuni hutaijua
 
Kwa mara ya kwanza nimeona hapo kuna mtu kapelekwa Switzerland kufanya kazi na kuishi huko kwa gharama za TCC
Mishahara midogo sana iyo kaka mbona..
Jaribu kufuatilia kwenye sekta ya ujenzi uone ma engineer wanaishije uko sio poa mzee
 
Na kuna wajasiriamali wa kawaida hapo Kariakoo wanapiga hata 10m au zaidi kwa mwezi.
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
 
We upo wapi mkuu tuanzie hapo..
Mi natakaga mambo yasiwe mengi sipendi mtu ambaye anaongea bila kua na prove...

Nambie nina milioni moja hapa niende nayo.kijiji gani hipa tz na nipe mchanganuo wote

Nipo tayari kwenda hata sasa

Welcome
Heri aseme Kariakoo, kwenye watu wengi sana na mzunguko mkubwa mno wa fedha.
 
Back
Top Bottom