kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Ana miaka mingapi kazini?Kuna mwalimu analipwa 1.2m
Ana miaka mingapi kazini?Kuna mwalimu analipwa 1.2m
Private sector wanaangalia efficiency ya mtu ikoje, maana kule ni pure competition, kila company ina race kupata faida kubwa
They know only way ni ku deliver best service, na kufika huko they need best man
Is why talents nyingi zinakuwa absorbed private sector
Safari Bado tata hii. Tuendako mbaliIko wazi watu wakidai maslahi wanaambiwa si wazalendo
Sana ndio maana mpaka sasa nimefika hatua ya kukubali tu kwamba tunahitaji mabadiliko kabisa ili waingie wengine nao waongoze usukani maana huyu dereva tuliye nae Kwa sasa amechoka nae tumpumzishe akae pembeni aiwezi tangu uhuru mpaka sasa ni yeye tu na matatizo ni Yale Yale.Safari Bado tata hii. Tuendako mbali
Nawajua UDOM, ni kama maskani mkuuMkuu kama ulikuwepo..
Kuna wana hapa cive mpaka sasa hawajapata wanahangaika na kule uongozi mkubwa...
😂😂😂😂😂😂
Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
KwannNimefanya private kwa miaka kadhaa, nipo serikalini mwaka wa tatu hata unizidishie mshahara mara mbili sirudi private
K
Ukiwa unajua kijerumani na umeshawahi kuajiriwa ujerumani uki-apply kazi GIZ unapata nje nje na mshahara wa kuanzia unakunja 3500EUR kwa mwezi. Watu wengi walio huku wakiamua kurudi nyumbani wanawasiliana nao na kujua kama wanauhitaji wa post na kuangalia wakazanie skills gani. Muhimu LughaKuna taasisi nazifahamu wanapiga hadi 4M kulingana na miaka uliyokaa nao
Ndio mkuu...Mkuu upo UDOM cive hapo?
Alafu wanaweza wasikupe.ID kama ujapeleka ile ya zamani dadek zao huwa nawakomoa mimiNawajua UDOM, ni kama maskani mkuu
🤣🤣🤣Kwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
intagema uko fani gani, kama ni degree ya penguine mishahara ndyo hiyo, unapata sawa na diploma ya nursing, diploma ya lab tech n.kWenye degree tunakula laki ineee wewe hao wa 3million umewatolea wap
UzalendoCCM wanapiga ngapi?
umekariri, serikali si LGA pekee, kuna taasisi za serikali salary ni zaidi ya hizo ulizo kariri, PCCB, TPHA, TTCL,TFDA, TRA, TMA, TBS etcAfya hakuna salary ya 2m, medicin graduate ni 1.5m
Hakuna graduate wa lga anaanza na 3/2m,
Ukitaka kulipwa hizo salary zipo TIRA, GAMING BOARD,TCRA,TCAA,LATRA ndio kuna salaries na allowances nyingi
Hakuna graduate wa LGA kwenye wa medicine anaanza na 3/2 m,
Mtu mwenye diploma wa gaming board analipwa hela nyingi kuliko medical doctor