Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

πŸ˜„
 
Na sie tunaolipwa 94 mill kwa mwezi mbona hutuweki πŸ₯΄πŸ₯΄
 
Unasemaje private sector hukunumeweka crdb na nmb hapo??
 
Hiyo mishahara ni kabla ya makato au baada ya makato na kodi?
 
We upo wapi mkuu tuanzie hapo..
Mi natakaga mambo yasiwe mengi sipendi mtu ambaye anaongea bila kua na prove...

Nambie nina milioni moja hapa niende nayo.kijiji gani hipa tz na nipe mchanganuo wote

Nipo tayari kwenda hata sasa

Welcome
Komaa mjini Mkuu, kijijini hakuna watumiaji. Muhimu hiyo milioni moja chukua laki 5 kanunue kiwanja Chalinze kwenye mradi wa Pingo (ukitaka ntakutumia namba ya mhusika kama upo Dar wana ofisi posta, utawatembelea) alafu hiyo 5 iliyobaki itenge tena, chukua laki 3 iweke kwenye biashara, eg. Uza accessories kwa oda vyuoni. Ikienda sawa focus nayo.
 
KUMBUKA IZO NI BASIC SALARY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…