Just Distinctions
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 3,322
- 6,998
Tuendelee tu na majungu na kurogana ๐ ila sijui kwanini sehemu nyingi zenye njaa kali huwa kuna ulozi mwingi sana, ukijipata kidogo tu unatumiwa salamuKwa hiyo sisi wa halmashauri unatushauri nini?
HAJUI UYO AWAULIZE BANK TELLERS WAMWAMBIE WANAVYOSOTEA MISHAHARA YAOIzo million una zitumikia haswaa unataka na note board pale kwa tema leader ina target zko usipotimiza ni kwereee
Wakati wa mwenzako wa serikalini ana weza potea mwaka mzma na mwisho wa mwezi yupo bank anapokea
Mkuu hivi na DP world ni private eh... kuna jamaa yangu kaingia pale kitengoo fulani kwa mwezi anavuta kama 8 mls ukijumulisha na overtime hapo.Wakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.
Hao ni mafia sana ,wamenifanyia uhuni mara nyingi sana . siku moja nilitoa Milion 10 , nikakuta kama elfu 50 haipo ...Wanakata kweny vibunda.HAJUI UYO AWAULIZE BANK TELLERS WAMWAMBIE WANAVYOSOTEA MISHAHARA YAO
AngezimiaUngetembelea ng'o kabla ya Trump ushangae.
Wanakupima uelewa wako wa fedha,ukitaka kujua mtu anaijua fedha ukimpa lazima azihesabu kwanza,benki teller uwa ni miyeyusho sana na wanatumikishwa sana bila kupumzika msiwalaumu mkikuta madirisha temorarily closedHao ni mafia sana ,wamenifanyia uhuni mara nyingi sana . siku moja nilitoa Milion 10 , nikakuta kama elfu 50 haipo ...Wanakata kweny vibunda.
Siku nyingine ni mil 5 , 20k wanetembea nao ...Ikaendelea hiyo tabia ,bahati nzuri ni yule yule nikamchana akapanic .
Hwa ni wezi sana , kile kimashine wanahesabu , nyingine zinatoka ..Wajanja kama wale wanaochezesha karata tatu ..Niliwachana mpaka wakawa na heshima .Wanakupima uelewa wako wa fedha,ukitaka kujua mtu anaijua fedha ukimpa lazima azihesabu kwanza,benki teller uwa ni miyeyusho sana na wanatumikishwa sana bila kupumzika msiwalaumu mkikuta madirisha temorarily closed
3 million mzungu hana choyo sio kama wahindiWanalipa ngapi hao jamaa mkuu?
Yes,imekaa vyema hiyo.3 million mzungu hana choyo sio kama wahindi
Hata bila cheti mfano mdogo tu hapa mkuyuni mwanza kwenye ma ellution Kuna Wamba tuna komaa nao hakuna shule yoyote zaidi walikuwa masera wa kitaa tu mshahara laki Saba sasa ivi Wana miaka mitatu kama sio minne Wana mijengo ya maana magari asee๐Sio tu wenye degree.
Private sector hata kama uliingia una certificate
The way unavyozidi kufanya kazi kwa weledi na ukaaminika, ndivyo madaraja na mshahara vinapanda.
Kuna watu wanakula 10MWakuu mko poa,?
Nilikua natafiti mishahara ya private sector kwa watu wenye level ya degree,nimegundua kuna vijana wanakula maisha aisee,
Orodha ya makampuni na mishahara yao ni kama ifuatavyo
1.TCC-2.53m
2.Twiga cement-2.76m
3.pwc-2.0m
4.Barrick-3.2m
5.Mbeya cement-2.5m
6.Delloite-2.0
7.Geita Gold-3.0m
8.TBL-1.8m
9.SBl-1.4m
10.Tanga cement-2.0m
11.Grumet-4.1m
12.Emirates-3.6m
13.Vodacom-2.5m
14.Tigo-2.1m
15.coca cola kwanza-1.2m
16.Precision air-1.6m
17.Standart charter bank-2.2m
18.crdb bank-1.8m
19.Nmb bank 1.2m
20.Toyota 1.5m
21.Mantrac 2.0m
22.Puma Energy 2.6m
23.Total Energy 1.9m
24.Azampesa 2.6m
25.Tanganika inte school 2.4m
26.Scania 1.3m
Note:sisi wengine huku mishahara haijafika hata 1m.