Kumbe kuna baadhi ya Sekta Binafsi watu wanaishi kama wako peponi vile

Wazee wa serikalini kuna security.
 
Okay malizeni mje mjue ukweli kwanini life in village is better than in town
Mkuu vijiji siku hizi maisha ni Tough sana.
Kijijini unanunua maharage kilo moja 3k, Mchele kilo moja 2.3k, Nyama 1kg kwa 12k, Mafuta 1litre 6k, sasa hapo nafuu iko wapi?

TEna huko ndio kuna shida zaidi kwa baadhi ya mikoa.
 
Mishahara Mikubw bila posho ni Usenge bado kwasababu ya kodi kubwa. Mfano mwenye mshahara wa 3M then anadaiwa na Board, anakatwa 30% PAYE 15% HESLB Hapo atapata 1.5M

Hivyo kama unapofanya kazi hakuna posho kama waalumu kutoboa ni mtiti bado
Nakuunga mkono,Kuna jamaa Yuko private sector salary 4m lakini take home 1.9m
 
Your genius mkuu..
Japo hapo kwenye mradi wa kiwanja chalinze bado sijakupata mkuu naomba unipe info kidogo
Unajua hakuna sehemu ya uhakika yakuwekeza hela kama kwenye ardhi, sasa kama utafanikiwa kuiwekeza hiyo 500k kwenye ardhi leo, baada ya muda haitakuwa tena 500k.

Alafu pia leo wanauza SQM Tsh. 800 ila nauhakika baada ya miaka miwili haitakuwa tena bei hiyo. Pia ni muhimu kuwa na ardhi kuanzia sasa Mkuu, mtu ukija kufika 40yrs utaona kabisa haukuzingua udogoni

Ubaya wa kuwa na iyo 500k ndani ni unaweza ukaitumia kwenye matumizi ambayo hata usipoyafanya hautakufa πŸ˜‚ sasa ni bora ukaiwekeza kwenye kiwanja.

Ila ni vile utavyoona Mkuu, ila mimi ukiniuliza ntakushauti hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…