Kumbe Kuna feature hii jf na hamsemi

Kumbe Kuna feature hii jf na hamsemi

Cassnzoba

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2022
Posts
3,661
Reaction score
6,913
Wakuu za Leo,

Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.

Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi wakuuu 🤣 🤣 imebaki voice note tu kwa kweliii 🤨

Maendeleo mazuri pia
Screenshot_20250125-154332.png

Nadhani mmepaona chini HAPO.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom