Kumbe Kuna feature hii jf na hamsemi

Kumbe Kuna feature hii jf na hamsemi

Hii ni feature ya android ya kusaidia watu wasiosikia vizuri/mtu yeyote kusikiliza maandishi kwa mfumo wa sauti hizi feature ndio huitwa accessibility features. Kwakuwa JF inatumia browser(chrome/app browser version) kudisplay maandishi ndio maana utaona hio read aloud, wanazidi kuiweka deep ndani ya android hata kwa app zingine sambamba na feature ya translate.
Ipo hivyo ufafanuzi mzuri
 
Kumbe bhn😄
Screenshot_20250125-181044.jpg
 
Niliiijua hii feature kwa njia ngumu .

Madam Blenda popote ulipo jua bado nakukumbuka Sana ,rudi tuishi Kama zamani maana hapa dunia tu wapitaji.
 
Wakuu za Leo,

Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.

Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi wakuuu 🤣 🤣 imebaki voice note tu kwa kweliii 🤨

Maendeleo mazuri pia View attachment 3213643
Nadhani mmepaona chini HAPO.

Nawasilisha
😂😂 Mkuu hii sio feature ya jf ni google hao
 
Wakuu za Leo,

Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.

Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi wakuuu 🤣 🤣 imebaki voice note tu kwa kweliii 🤨

Maendeleo mazuri pia View attachment 3213643
Nadhani mmepaona chini HAPO.

Nawasilisha
Tecno yangu naona hai support hiyo feature
 
Back
Top Bottom