Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Ipo hivyo ufafanuzi mzuriHii ni feature ya android ya kusaidia watu wasiosikia vizuri/mtu yeyote kusikiliza maandishi kwa mfumo wa sauti hizi feature ndio huitwa accessibility features. Kwakuwa JF inatumia browser(chrome/app browser version) kudisplay maandishi ndio maana utaona hio read aloud, wanazidi kuiweka deep ndani ya android hata kwa app zingine sambamba na feature ya translate.
Hilo neno Umeona linasikika YUMEONA tena anasoma kama amekula pilipili kaliView attachment 3213660
Umeona nhapo read aloud ukibofya tu inaongea
Sema ana lafudhi ya kiingerezaKumbe bhnπ
View attachment 3213791
Huyo ni kibogoyoShida ni lafudhi ya kiingereza Sasaπ€£π€£π€£
ππ Mkuu hii sio feature ya jf ni google haoWakuu za Leo,
Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.
Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi wakuuu π€£ π€£ imebaki voice note tu kwa kweliii π€¨
Maendeleo mazuri pia View attachment 3213643
Nadhani mmepaona chini HAPO.
Nawasilisha
Hio sio feature ya jf ni feature ya google ipo kwenye apps zote zenye option ya kuclick na kucopyWatu mkishindwa kuziona mnasema chai eeeh aaahyaaah
Nenda chrome then fanya kama unavyofanya hapa utaionaSasa mbona naitumia app
Tecno yangu naona hai support hiyo featureWakuu za Leo,
Naamini tuko poa kabisaaa na wale ambao wanapitia magumu kwenye maisha Yao basi mungu atawasaidia mkae poa.
Kumbe jamiiforums Kuna feature ya kusoma maandishi kwa sauti na hamsemi wakuuu π€£ π€£ imebaki voice note tu kwa kweliii π€¨
Maendeleo mazuri pia View attachment 3213643
Nadhani mmepaona chini HAPO.
Nawasilisha
ππ Hongera kwa kujaribuOya imekubali BWANA