Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Pesa za ndani huku hata kutoa vitambulisho vya taifa kwa kila anayestahili mmeshindwa?We fala hii nchi inazo pesa sasa hivi,hata uchaguzi ni pesa za ndani zimetumika. Tril 2 si kitu kwa Tanzania ya leo.