Uchaguzi 2020 Kumbe kuna hatari ya kukosa Trilioni 2 kutoka kwa Wahisani kutokana na Kasoro za Uchaguzi(?)

Usipendelee kufanya jambo la kimaendeleo kwa kutegemea misaada
 
We fala hii nchi inazo pesa sasa hivi,hata uchaguzi ni pesa za ndani zimetumika. Tril 2 si kitu kwa Tanzania ya leo.
We jamaa akili zako zina mapengo unaambiwa 2tirl$ unajua ni sh, ngapi kwa madafu?
 
Wajinga kama ninyi walikuwepo Zimbabwe ya Mugabe pambio kila mahali baada ya kufa babu unasikia anachofanya Mnangagwa
 
We fala hii nchi inazo pesa sasa hivi,hata uchaguzi ni pesa za ndani zimetumika. Tril 2 si kitu kwa Tanzania ya leo.
Mkuu unaandika tu utafikiri unafanya hesabu za genge lako la biashara hapa! Trilioni mbili ni mzigo wa maana, Taifa lina uhaba wa pesa kwa ajili ya kutekeleza bajeti (kasome utekelezaji wa Bajeti urudi hapa).
Na usifikiri wataishia kwenye kutunyima trilioni mbili tu, wataendelea kutubana kwenye mambo mengi eno la misaada.
 
Ndio maana nashangaa kwanini nguvu kubwa inatumika kuwabembeleza viongozi wetu wa chadema wakubali kuteua wabunge viti maalum [emoji38][emoji38]
Nani anakubembeleza wewe[emoji2][emoji2] kaa na njaa mkuu
 
Dua lenu halifanikiwi, kisa mmekosa Ubunge?
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Aise watu mna vituko kweli. Kwahiyo Kama hawajashinda mnataka iweje!
 
Hahahahahahaha.... yaani nyinyi wanasaccos mnashida sana. Mwanzo mlikuwa mnasema lazima mtashinda uchaguzi baada ya kushindwa mkasema mtaandamana mkashindwa tena sasa mnasema tutakosa 2 trillion za wafadhiri. Haya bwana ngoja tuendelee kuwasikiliza Malalamiko FC!
 
Hivi wewe jamaa Lissu alikuahidi nini, mbona umeumia sana.
 
Ni Muda tu mtafyata mkia nch kukosa izo b2 haiwez kuuma kama mwenyekit kukosa Ruzuku na michango ya wabunge ngoja nisubir move itaisha vip[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kuna umuhmu wa vijana wote wakimaliza standard 7 waende jeshi miezi 3 na zaidi, vijana wengi wanaanza kupoteza uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…