Kumbe kuna scenario ambapo ukijificha Mungu hakuoni!!

Kumbe kuna scenario ambapo ukijificha Mungu hakuoni!!

Hata wewe dhambi zikizidi inapoteza Uungu ndani yako,unapoteza connection na Mungu
 
HAPANA ILA SHETANI ndiye mwenye kuuliza maswali ya kimtego,
yeye ndiye anauliza akiwa anajua jibu KWA LENGO LA KUKUTEGA...
mfano shetani akiwa katika umbo la nyoka. ndani ya bustani ya EDENI.
alimuuliza swali EVA

Swali: ETI??hivi ndivyo alivyosema MUNGU kuwa msile matunda yote ya humu bustanini...????

ETI???(Anawatega..)

Na matokeo ya mtego wake alifanikiwa KUWADANGANYA na ndio LENGO la kuwatega ILI AWADANGANYE (mana shetani ni baba wa uongo..bingwa wa UONGO)

Kinyume kabisa na matendo ya MUNGU.

N:B Kulitaja bure jina la Mungu kwa lengo la kufanya midhaha,au kukejeli ni kukufuru na ni dhambi.Tulitaje jina la Mungu endapo kuna umuhimu/ulazima na kwa mambo ya maana(ILI TUSIJE HESABIWA DHAMBI)

Midhahaha na kejeli kwa Mungu ni dhambi.
Uthibitisho wa haya huwa mnautoa wapi? Wakati ADAM na HAWA hawakuwa na elimu ya kuandika, walikuwa wawili pekeyao na hakukuwa na shahidi, zaidi ya kusoma biblia kuna ushahidi kwamba haya yalitokea?

Hiyo Bustani iko wapi? na kuna utafiti wa kisayansi unaonyesha kuna sayari nyingi tu, kwanini hiyo biblia inasema Mungu alimfukuza na kumtupa lucifer Duniani?

Na Adam na Hawa nao wakafukuzwa bustani ya Edin nao wako Duniani, unaweza kumtofautisha huyo shetani aliyeko humu duniani na Binadamu aliyeko humu duniani?

Kuna uwezekano kwamba huyo shetani ndiye mwanadamu?

kwasababu Hiyo Biblia inasema Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, Je Huyo shetani anaumbo gani humu duniani?
 
Back
Top Bottom