Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

Wala usisikitike. Waswahili wanasema ''ngoma ikivuma sana...''. Ukiona hivi ujue mwisho wa CCM unakaribia. Wataweza kuwakirimu wangapi? Tena ni vizuri kabisa na acha kila mtanzania aimbe jina la Samia na CCM. Watu watasifu mchana lakini jioni watarudi nyumbani na kujikuta hali ni ile ile. Uzuri ni kwamba njaa haina cha huyu anasifu au huyu anaponda.
 
Halafu baadae vijana wanakuja kulalamika hawana ajira...
 
Ebu soma nilichokiandika hapa

Asante kwa kunisaidia mana mimi sio muangaliaji wa tv sikumbuki ni channel gani nilikuwa nimekaa mahali nikisubiri nihudumiwe huduma fulani then niingie kulala
Star TV
 
Shindano la kumsifu na kumuabudu Mama Abdul lapamba moto, Machawa wako on fire na kila mmoja kajipanga kisawasawa kuondoka na kinyang'anyiro iko.
 
CHAWAAAAAAW.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…