Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

Kumbe kuna shindano la kumsifu mama samia

Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
Wala usisikitike. Waswahili wanasema ''ngoma ikivuma sana...''. Ukiona hivi ujue mwisho wa CCM unakaribia. Wataweza kuwakirimu wangapi? Tena ni vizuri kabisa na acha kila mtanzania aimbe jina la Samia na CCM. Watu watasifu mchana lakini jioni watarudi nyumbani na kujikuta hali ni ile ile. Uzuri ni kwamba njaa haina cha huyu anasifu au huyu anaponda.
 
Halafu baadae vijana wanakuja kulalamika hawana ajira...
 
Shindano la kumsifu na kumuabudu Mama Abdul lapamba moto, Machawa wako on fire na kila mmoja kajipanga kisawasawa kuondoka na kinyang'anyiro iko.
 
Nilikuwa nimempumzika mahali Fulani usiku wa Jana ndio nikakutana na hichi kioja watu wazima wenye akili timamu wameandaa shindano la kumsifu na kumuabudu rais Samia jambo hili ni lakukemewa kabisa lisiendele wakusifiwa na kuabudiwa ni yeye pekee Mungu
CHAWAAAAAAW.....
 
Back
Top Bottom