Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Mbona kama Simu za kudukuana, hazipeleki taarifa kwa Mombo kweli
Simu zote zinadukua na kopi ya matumizi yako iko tcra
Tupende vya kwetu mkuuHizo simu atumie kwanza Mwigulu tuone uzalendo wake.
Endelea kutufuatilia tutakuja kuyajuza mengi zaidi boss ✍️Umetoa taarifa nusu, flagship ni ipi hapo na maduka yao ya mawakala yapo wapi kwa dsm?
🇹🇿🇹🇿Hakika Tanzania tumepiga hatua kubwa sanaTupende vya kwetu mkuu
Kwanini umesema hivyo 👀👀Mbona kama Simu za kudukuana, hazipeleki taarifa kwa Mombo kweli ?
🤔🤔Kinaitwaje mkuu tukifuatilie tujueHata Arusha kuna Kiwanda cha kutengeneza Vishikwambi