Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Hila za sisiem zimefikia kubaya sana lazma watu wachukue tahadhari sana.Kwanini umesema hivyo 👀👀
Hila za sisiem zimefikia kubaya sana lazma watu wachukue tahadhari sana.Kwanini umesema hivyo 👀👀
😁😁Sasa kuziita "Radi" na hii el niño inayokuja watu wataziogopa. Wangetoa jina la kizalendo ili tupate ownershi ya Tanzania. Wangeziita hata Tarangire, Ngorongoro, Selous n.k
Nilikuwa nataka niseme kitu hicho hichoWanatengeneza au wana-assemble?
Ni assembling tu.hawana uwezo wa kuunda.Nilikuwa nataka niseme kitu hicho hicho
Hapo ni sahihiNi assembling tu.hawana uwezo wa kuunda.
Kivipi hawna uwezo?Ni assembling tu.hawana uwezo wa kuunda.
Kwa sababu serikali wamewekeza nguvu kwenye utekaji na siyo kwenye maendeleo.Kivipi hawna uwezo?
Kwa hatua hiyo hiyo ya ku-assemble unayoisemea kwa mitazamo wako ni hatua ndogo?Kwa sababu serikali wamewekeza nguvu kwenye utekaji na siyo kwenye maendeleo.
Ni ndogo sana.Kwa hatua hiyo hiyo ya ku-assemble unayoisemea kwa mitazamo wako ni hatua ndogo?
Kobaz siku hizi mpo kila mahali. Hongereni asee. Mlichokosa tu muwe perfect nikujambiwa tu.Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃.
Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani.
Kuna simu mbalimbali zinatengenezwa Kuanzia simu janja, smart kitochi , Smart watch, Laptop nk ambazo zima tenengenezwa.
Unaweza tembelea website yao kwa kupata taarifa zaidi 👉 raddyelectronics.co.tz/
😃😀😀😀Walimwengu kwenye ubora wao Kwanini hamna simu tupe facts usiletee hisiaHakuna simu hapo
😄😄 Huku tuko kwenye masuala ya Teknolojia achana na hayo siasa huku Hamna kabisa tuonge ki techKwa sababu serikali wamewekeza nguvu kwenye utekaji na siyo kwenye maendeleo.
😀😀😀 Kwanini Usiwe wewe wa kwanzaHizo simu atumie kwanza Mwigulu tuone uzalendo wake.
Kama Tecno na itel mpaka Leo sio simu humo hamna kitu😃😀😀😀Walimwengu kwenye ubora wao Kwanini hamna simu tupe facts usiletee hisia
Acha kabisa hii Raddy 😀 bro kwaiyo Ebu tuipe heshima yakeItel na Tecno kwa jina la raddy.
Bado ujaongea facts umeleta hisia 😁, Yani toa sababu Kwanini hamna simu hapo usiletee ethics za brand nyingineKama Tecno na itel mpaka Leo sio simu humo hamna kitu
Ni cha Wachina?...simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani.
Wewe umeweka sifa za hizo simu?Bado ujaongea facts umeleta hisia 😁, Yani toa sababu Kwanini hamna simu hapo usiletee ethics za brand nyingine