Kumbe kuna uhaba wa USD ($) Tanzania?

Shida ya Mrusi ni mchoyo.Mmarekani na nchi za ulaya wakiona hiyo kitu inatengamaa ,watatoa misaada na mikopo mingi kwa nchi za dunia ya tatu kwa dolla na mrusi sio mtu wa hivyo.So dolar nyingi zitakuwepo kuliko Yuen and Rabble nk.Na Mrusi mwenyewe reserve currency yake mpaka sasa ni Dolar inganwa US wameconfisticate zote zilizopo kwenye mataifa rafiki na US.SWIFT code and VISA ni makampuni ya kimarekani na 95% ya transaction zote duniani zinatumia mifumo hii miwil so US is monitoring all the currencies in the world na kujua how to manipulate and to take advantage of the system.Mrusi yeye bado anakuwa busy na kujijenga kijeshi ,kiuchumi na supply yake kubwa ni mafuta.Na inaonekana next 50yrs mafuta hayatakuwa commodity inayohitajika duniani.
 
China hataki pesa yake ipande thamani maana anajua Marekani ataanza tengeneza na kuuza nje
 
Sio kweli!
sema upepe ufafanuzi mkuu, sio mstari 1 kukataa kitu chenye ushahidi

nafanya taasisi ambayo tunakopa crdb dolla, kuanzia mwezi wa 12 wamekuwa wakitoa mikopo hii kwa manati unaomba dolla zinachukua mwezi tena hupewi kiwango kile ulichoomba inakuwa pungufu
 

Rudi shuleni mkuu, ama waachie wataalam wa fedha haya mambo yapo juu yako.
 
Uko sahihi kiongozi.
 
.
 
I will advice my forex broker to add this pair Tzs/usd ili watu wa forex wawe matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…