UPOPO
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,563
- 5,687
Shida ya Mrusi ni mchoyo.Mmarekani na nchi za ulaya wakiona hiyo kitu inatengamaa ,watatoa misaada na mikopo mingi kwa nchi za dunia ya tatu kwa dolla na mrusi sio mtu wa hivyo.So dolar nyingi zitakuwepo kuliko Yuen and Rabble nk.Na Mrusi mwenyewe reserve currency yake mpaka sasa ni Dolar inganwa US wameconfisticate zote zilizopo kwenye mataifa rafiki na US.SWIFT code and VISA ni makampuni ya kimarekani na 95% ya transaction zote duniani zinatumia mifumo hii miwil so US is monitoring all the currencies in the world na kujua how to manipulate and to take advantage of the system.Mrusi yeye bado anakuwa busy na kujijenga kijeshi ,kiuchumi na supply yake kubwa ni mafuta.Na inaonekana next 50yrs mafuta hayatakuwa commodity inayohitajika duniani.Kwa USD main accounts zinakuwa USA kwa GBP zinakuwa UK kwa Euro zinakuwa Europe.
Ndio maana baada ya Russia kuvamia Ukraine US waliconfisticate Russia accounts 300 Billions USD huko US.
USD ndio global reserve currency mfano nchi ikitaka kununua oil inabidi iwe na USD ambazo US wanakukopesha au unauza kwao uzipate.
BRICS wanapambana kuondoa hii current world order kwa kuunda currency yao na kutrade direct between trading partners currencies.
Hiyo ndio de-dollarization